Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acha waibe nchi ya majibwa hii
du bora dc ndio amekamata angekamata m4c pasingetosha humu
ningeshangaa kusingekuwa na neno kama hiloMagamba wamejua mapema kuwa Mbeya wasingekatiza na mchanga.
wale wachina wa chunya bado wapo?si ndio walikuwa wanakunya na kukojoa kwenye bwawa la maji ambalo lilikuwa linatumiwa na wasafwa?nilimsikia mwakipesile akisema angewafukuza.WATU WAKIKWETE HAO.kila siku ni vituko vya wachina.mara waibe umeme.mara waibe maji,vifaa feki,nyara za serkali.huko ghana juzi kati walikamatwa msituni wakichimba dhahabu!wanakula sahani moja na magamba.hii cdm wataifanya campaign issue come 2015.ngoja tuone.Kikwete ndio zake kawaleta wachina kama uyoga wachoote wee mpaka wachoke dah huko chunya si ndio walikokuwa wanachimba dhahabu mtoni halafu yule mtanzania anasaidia kuongopa ili waaibe vizuri eti kibali kimeisha wanagoja wapewe kingine
Mitambo ipo Sanza chunya Kwa mulugo wananchi walishapambana sana na polisi kukataa mradi maeneo hayo yalikuwa ya wananchi wachimbaji wadogowadogo sasa hivi ni ya Ridhiwaniyani hii nchi ni ya ajabu sana hv wachina wanachukua mchanga wa dhahabu sasa wanapeleka wapi? Kwani mbeya wana mitambo? Na kama hyo mitambo ipo ni ya nani? Na kama wataisafisha hiyo michanga na dhahabu hyo ikipatikana itakuwa ya nani? Au ni mitambo ya kinana na riz? Jamani hii serikali aiogopwi na hata wageni
tunapaswa kuwa makini nao na kuwachukulia kwa mitizamo tofauti ,1:tuwaone kama wageni wawekeza wasiokuwa na huruma ama uzalendo kwa taifa hili na ambao nafasi ama mwanya wowote watakaoupata kuiba(kuhujumu)watautumia effectifuly na mwanya wanaupata kutoka miongoni mwetu watanzania kwa maana ya ama baadhi ya viongozi tuliowapa dhamani wakishirikiana na baadhi ya watanzania raia wa kawaida wenye tamaa ya kupewa kitu kidogo.2:tuwachukulie kama watu wanaotafuta nafasi ya kutuibia tu ama kutudhulumu tukiwaweka katika mitizamo hiyo itakuwa rahisi kuwadhibiti wafanye kazi halali
wapo wamesogezwa Saza mwana wa mfalme ndio mmliki mwangalizi wake ni mulugo naibu waziri elimuwale wachina wa chunya bado wapo?si ndio walikuwa wanakunya na kukojoa kwenye bwawa la maji ambalo lilikuwa linatumiwa na wasafwa?nilimsikia mwakipesile akisema angewafukuza.WATU WAKIKWETE HAO.kila siku ni vituko vya wachina.mara waibe umeme.mara waibe maji,vifaa feki,nyara za serkali.huko ghana juzi kati walikamatwa msituni wakichimba dhahabu!wanakula sahani moja na magamba.hii cdm wataifanya campaign issue come 2015.ngoja tuone.