Wachina washikwa wakiiba mchanga wa dhahabu wakiupeleka mbele

Wachina washikwa wakiiba mchanga wa dhahabu wakiupeleka mbele

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Posts
25,260
Reaction score
7,204
Wachina washikwa tena wakiiba mchanga wa dhahabu wakielekea mbeya.bado magamba hawajamaliza tuzamisha ktk huu wizi

Source :ITV
 
Nimeisikia taarifa hii natumaini wana mtwara pia wameisikia...
 
badilisha heading haraka sikukuelewea nilitaka nisifungue mbele wapi sasa
 
du bora dc ndio amekamata angekamata m4c pasingetosha humu
 
Wakichomekwa ndani watatishia mahusiano ya kidiplomasia kama wale wa Arusha. Ngoja waibe tu kama tumewapandisha vyeo watu wa Inteligensia nadhani kazi itafanyika tu
 
M4c imerejesha uzalendo. Kelele za kuchukuliwa mchanga wa dhahabu zimepigwa miaka 10 iliyopita na 'serikali sikivu' ya magamba haikusikia.
 
Kikwete ndio zake kawaleta wachina kama uyoga wachoote wee mpaka wachoke dah huko chunya si ndio walikokuwa wanachimba dhahabu mtoni halafu yule mtanzania anasaidia kuongopa ili waaibe vizuri eti kibali kimeisha wanagoja wapewe kingine
 
yani hii nchi ni ya ajabu sana hv wachina wanachukua mchanga wa dhahabu sasa wanapeleka wapi? Kwani mbeya wana mitambo? Na kama hyo mitambo ipo ni ya nani? Na kama wataisafisha hiyo michanga na dhahabu hyo ikipatikana itakuwa ya nani? Au ni mitambo ya kinana na riz? Jamani hii serikali aiogopwi na hata wageni
 
kwani hii nchi ina wenyewe? mwenye nchi ali R I P 14/10/1999 yamebaki majambawazi tu
 
Mbeya si ndipo ilipo reli yao ya unyonyaji tazara.sasa wanataka bandari yao kwa gharama yetu.
 
Tunapaswa kuwa makini nao na kuwachukulia kwa mitizamo tofauti

1:tuwaone kama wageni wawekeza wasiokuwa na huruma ama uzalendo kwa taifa hili na ambao nafasi ama mwanya wowote watakaoupata kuiba(kuhujumu)watautumia effectifuly na mwanya wanaupata kutoka miongoni mwetu watanzania kwa maana ya ama baadhi ya viongozi tuliowapa dhamani wakishirikiana na baadhi ya watanzania raia wa kawaida wenye tamaa ya kupewa kitu kidogo.

2:tuwachukulie kama watu wanaotafuta nafasi ya kutuibia tu ama kutudhulumu tukiwaweka katika mitizamo hiyo itakuwa rahisi kuwadhibiti wafanye kazi halali
 
Kikwete ndio zake kawaleta wachina kama uyoga wachoote wee mpaka wachoke dah huko chunya si ndio walikokuwa wanachimba dhahabu mtoni halafu yule mtanzania anasaidia kuongopa ili waaibe vizuri eti kibali kimeisha wanagoja wapewe kingine
wale wachina wa chunya bado wapo?si ndio walikuwa wanakunya na kukojoa kwenye bwawa la maji ambalo lilikuwa linatumiwa na wasafwa?nilimsikia mwakipesile akisema angewafukuza.WATU WAKIKWETE HAO.kila siku ni vituko vya wachina.mara waibe umeme.mara waibe maji,vifaa feki,nyara za serkali.huko ghana juzi kati walikamatwa msituni wakichimba dhahabu!wanakula sahani moja na magamba.hii cdm wataifanya campaign issue come 2015.ngoja tuone.
 
Umeniuma sana baada ya kuona hiyo habari....hivi hii nchi tuna viongozi au majuha na mazombi? Kuna tofauti gani kati sasa na enzi za akina chifu mangungo?CCM ni lazima ipigwe chini...mmechoka kuongoza hii nchi.
 
yani hii nchi ni ya ajabu sana hv wachina wanachukua mchanga wa dhahabu sasa wanapeleka wapi? Kwani mbeya wana mitambo? Na kama hyo mitambo ipo ni ya nani? Na kama wataisafisha hiyo michanga na dhahabu hyo ikipatikana itakuwa ya nani? Au ni mitambo ya kinana na riz? Jamani hii serikali aiogopwi na hata wageni
Mitambo ipo Sanza chunya Kwa mulugo wananchi walishapambana sana na polisi kukataa mradi maeneo hayo yalikuwa ya wananchi wachimbaji wadogowadogo sasa hivi ni ya Ridhiwani
 
tunapaswa kuwa makini nao na kuwachukulia kwa mitizamo tofauti ,1:tuwaone kama wageni wawekeza wasiokuwa na huruma ama uzalendo kwa taifa hili na ambao nafasi ama mwanya wowote watakaoupata kuiba(kuhujumu)watautumia effectifuly na mwanya wanaupata kutoka miongoni mwetu watanzania kwa maana ya ama baadhi ya viongozi tuliowapa dhamani wakishirikiana na baadhi ya watanzania raia wa kawaida wenye tamaa ya kupewa kitu kidogo.2:tuwachukulie kama watu wanaotafuta nafasi ya kutuibia tu ama kutudhulumu tukiwaweka katika mitizamo hiyo itakuwa rahisi kuwadhibiti wafanye kazi halali

wajinga ndio waliwao.wajinga ndio waliwao.wajinga ndio waliwao.wajinga ndio waliwao.tunaliwa jamani kupitia serkali ya magamba.sijui watanzania watafunguka lini vichwa????????????????????????????
Cdm mkaze buti.
 
wale wachina wa chunya bado wapo?si ndio walikuwa wanakunya na kukojoa kwenye bwawa la maji ambalo lilikuwa linatumiwa na wasafwa?nilimsikia mwakipesile akisema angewafukuza.WATU WAKIKWETE HAO.kila siku ni vituko vya wachina.mara waibe umeme.mara waibe maji,vifaa feki,nyara za serkali.huko ghana juzi kati walikamatwa msituni wakichimba dhahabu!wanakula sahani moja na magamba.hii cdm wataifanya campaign issue come 2015.ngoja tuone.
wapo wamesogezwa Saza mwana wa mfalme ndio mmliki mwangalizi wake ni mulugo naibu waziri elimu
 
Back
Top Bottom