Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 7,005
- 9,264
sema wewe ujenge nchi yako, wengine tunaijenga MARIKANItuache viherehere kwenye nchi za watu. Tujenge nchi zetu
2014,Kama mtoto wa Xi yuko huko, ina maana wachina hawaikubali elimu yao?
Mkuu2014,
Sasa hivi Vyuo vingi vya China vina surpass vyuo vya Marekani atleast kwenye tech ngumu kama Engineer
Mkuu
hii sio kweli
vyuo vingi vya china bado saana
Publications, groundbreaking technologies zipi umeziona zimetoka china?
China wewe come up with your product kwa mass production nend akwao kutokana na cheap labour
hakuna lingine lolote
hata Chinese best brain hawataki kufanya kazi kwo mbona tunakimbizana nao huku duniani
Icho kitu ata mimi nilikisikia pia hii kitaalamu ipoje mkuuWatu hawawezi kukuelewa hapa. Watatokwa sana na povu. Mimi nliwahi Mwuliza mchina mmoja very smart Marekani kwa nini asiende kufanya kazi kwao. Aliniambia hilo halitatokea hataki kwenda ishi China.
We umeongea maneno ya Vijiweni mi Nimekupa data. Umeangalia data zangu?Mkuu
hii sio kweli
vyuo vingi vya china bado saana
Publications, groundbreaking technologies zipi umeziona zimetoka china?
China wewe come up with your product kwa mass production nend akwao kutokana na cheap labour
hakuna lingine lolote
hata Chinese best brain hawataki kufanya kazi kwo mbona tunakimbizana nao huku duniani
Icho kitu ata mimi nilikisikia pia hii kitaalamu ipoje mkuu
Kwanini jamaa wanakosa uzalendo kiasi hicho
Mchina Hana elimu yoyote ya maana zaidi ni mjanja kwenye kucoppy na kupaste mambo kama yalivyo💯Kama mtoto wa Xi yuko huko, ina maana wachina hawaikubali elimu yao?
Asante sana kwa uchambuzi yakinifuChina malipo kwa kazi zao ni kidogo sana. Kuna cheap labors tofauti na nchi za Ulaya na Marekani. But pia Uhuru na Kujiachia ni kwingi wakilindwa pia na sheria somehow kuliko China.
Kwann nass HUKU Tanganyika tusikop na kupaste?Mchina Hana elimu yoyote ya maana zaidi ni mjanja kwenye kucoppy na kupaste mambo kama yalivyo💯
Mbona taarifa yako inaonesha USA anaongoza overall kwenye kila nyanja. Yaani mfano wako ni sawa na shule moja kutoa mwanafunzi mmoja bora kitaifa alafu overall performance wakazidiwa.We umeongea maneno ya Vijiweni mi Nimekupa data. Umeangalia data zangu?
We Unamjua mwanasayansi gani mkubwa wa 2025? Ama kuna Ground tech gani kubwa ya 2025 unaijua?
Anayekusanya Data za Scientist na paper wanazo Publish ni Stanford University, ambayo haina affiliation na China ila wao wanamuweka mchina na University ya China kama top
World's Top 2% Scientists
Discover the world's leading researchers in Stanford University's Top 2% Scientists list, based on citation impact and bibliometric indicators.topresearcherslist.com
1. Chinese Academy of science overall ndio inaongoza kwa scientific paper sasa hivi ikifuatiwa na Havard nafasi ya pili
2. Researcher anaeongoza kazi zake kusoma ni Wang Zong Li toka China.
Sasa hivi
- China Anaongoza Tech za magari kwa Ujumla, betri zao za Silicone batteries zinafanya vizuri to the point hata kwenye simu za Kichina battery zao zina uwezo mkubwa na kuchukua nafasi ndogo
-ujenzi wa miundombinu vitu kama High speed train za China zinafanya Ulaya na USA kuonekana kama sehemu za kizamani,
-network za kisasa 5G kila eneo nchi nzima ipo connected etc.
Kitu pekee ambacho Usa bado anampita China ni semiconductor nayo Usa Anategemea wafadhili zaidi kama Netherlands, Taiwan etc
Acha uongo dogo.mtoto wa XI nae ni mwanafunzi pale Havard
MARIKANI ndio nchi gani ?sema wewe ujenge nchi yako, wengine tunaijenga MARIKANI
Nawe unataka kuamini upuuzi wa huyu dogo ?Kama mtoto wa Xi yuko huko, ina maana wachina hawaikubali elimu yao?