mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,943
- 81,605
1. Mtoto wa Xi alishamaliza.
2. Trump anaamini Harvard inawahifadhi wanafunzi wanaotetea palestina na kuchukia wayahudi. Pia anaamini Harvard ina mahusiano na chama cha CCP cha china.
Trump anawafukuza wanafunzi wanaharakati marekani nzima, sio Harvard tu.
3. Marekani ndo itapata hasara zaidi, sekta ya usafiri na utalii inapata hasara sana, kampuni za kichina zimeanza kuthamini degree za kichina zaidi(China wana vyuo bora kama Tsinghua, HKU, PolyU na Peking).
Wachina wanaosoma marekani hawategemei ufadhili, wanalipa zaidi. Marekani itapungua GDP.