Wachina watoka machozi ya damu-TRUMP Azuia Havard Kudahili wageni

Wachina watoka machozi ya damu-TRUMP Azuia Havard Kudahili wageni

Hakuna facts yoyote iliyoandikwa
angalia anachoandika mshamba_hachekwi ana hoja zenye mashiko

Huwezi kufananisha na pumba za Imeloa

Wewe endelea kutetea ujinga sio kosa lako huenda nawe ni wale wale


Ni kwanini sheikh wangu una kisirani, makasiriko, kidambwitiko na mgagasiko wa moyo na akili? Tulia tu wala haina haja ya kupaniki. Sisi wote ni waafrika. Au wewe kujiita hivyo tayari unajiona ni mchina? Usitokwe na povu. Mjibu jamaa kwa facts
 
Ni kwanini sheikh wangu una kisirani, makasiriko, kidambwitiko na mgagasiko wa moyo na akili? Tulia tu wala haina haja ya kupaniki. Sisi wote ni waafrika. Au wewe kujiita hivyo tayari unajiona ni mchina? Usitokwe na povu. Mjibu jamaa kwa facts
Hakuna anayepaniki tunataka watu wanaongea facts
 
Mkuu
hii sio kweli
vyuo vingi vya china bado saana
Publications, groundbreaking technologies zipi umeziona zimetoka china?
China wewe come up with your product kwa mass production nend akwao kutokana na cheap labour
hakuna lingine lolote
hata Chinese best brain hawataki kufanya kazi kwo mbona tunakimbizana nao huku duniani
Vitu vingine havihitaji kufikiria sana ushawahi Mmarekani au western citizen akiwa chinga kariakoo ? Hivi wanaosifia wachina waishawahi kuona wanavyoishi huko Chunya, Geita na Congo ? Juzi juzi hapa kuna mchina kafukiwa na kifusi kwenye mgodi.Inabidi tukae na tujiulize. Wamepigwa stop hadi Uswisi, Austria na baadhi ya vyuo huku ujerumani hasa top universities.
 
Harvard - Undergraduate 3.9 hadi 4.0 GPA
Tsinghua - Undergraduate 3.5 hadi 4.0 GPA
Unakosea mkuu, sijaribu kulinganisha harvard na tsingua.

Ninachosema ni kwamba china nayo ina vyuo vya kimataifa, majina yanatambulika, na ukienda kwenye orodha za vyuo kama Qs, US world news, Times Higher Education nk. utavikuta juu.

China haina shida ya vyuo vya kimataifa, vipo zaidi ya 40 kwao. Wanachojitahidi ni kuboresha mfumo wa elimu na kualika wanafunzi wa nje zaidi ili waaminike.

Tsinghua imewahi kuongoza duniani kwa computer science, Peking inafanya vizuri kwenye humanities, na HKU inatimua kwenye business.

Ada zao ni nafuu mno kuliko za US pia.

Wachina hawatokosa pa kwenda.
 
Usipaniki. Ujinga haupanikishi. Facts ndo huwa zinafanya watu wapaniki. Pia jifunze kusikia hata yale usiyoyapenda na elimu inatutaka hivyo. Bishaneni kwa hoja na si viroja.
Ukweli utabaki palepale hao jamaa wameyumba ​
 
Back
Top Bottom