Wachina watoka machozi ya damu-TRUMP Azuia Havard Kudahili wageni

Wachina watoka machozi ya damu-TRUMP Azuia Havard Kudahili wageni

Wachina wapo kariakoo wanapambania na wao kuuza yeboyebo, mkono uende kinywani wapo zambia wanapambania kulima wapooze njaa, hawana huo uwezo wa kugundua.
Ila kikishagunduliwa sasa ndo wanakuja na zile mbwembwe za simu ina betri la Mah 15,000 na hapo ndo unakuta humu JF anakuja mchina wa kwa mtogole kuandika china yawa ya kwanza duniani kutengeneza simu yenye betri la Mah 15,000🤣😅😂
Tunaishi kwenye dunia ya innovations​
 
Hii ni battle nyingine nayo haitakaa iishe, ngoja sisi tutulie,
Ila U.S naye aliiba sana German
 
Mkuu
hii sio kweli
vyuo vingi vya china bado saana
Publications, groundbreaking technologies zipi umeziona zimetoka china?
China wewe come up with your product kwa mass production nend akwao kutokana na cheap labour
hakuna lingine lolote
hata Chinese best brain hawataki kufanya kazi kwo mbona tunakimbizana nao huku duniani
Labda mnakimbizana na hao chinese best brainer dunia ya manzese na kariakoo.

Kwa hiyo wachina wanaotengeneza C-10J, satelites, Icbm etc ni poor brainer?
 
Nimekuja kuonesha non sequitur logical fallacy iko wapi.
Ndio maana nikashangilia,ukaukata mzizi paap,watu wakaweka sababu nyepesi kikandamizia uelewa wao finyu.Mi nikawa sina cha kujibu zaidi ya kufurahia kilichoujaza ubongo wangu bila kuleta malumbano.
 
Huyo ana bwana wa kichina ndio anaye mweka mjini humwambii kitu kuhusu nchi ya baasha wake china yupo tayari kukutukana ili ale ban lakini atetee nchi ya baasha wake huyo.
Kwa hiyo wanaotoa mada za vyuo za kizungu nao wana mabwana wa kiingereza na kiamerika.Wapashaji hawakosekanagi.
 
Nikweli mkuu mmoja ndio huyu hata jina kajipa la kichina mdada fulani hivi ana yash linalo mvuruga mchina wake

duh inasikitisha kwa kweli, wachina nao wameshapata hayo maradhi? nilikuwa nahisi ndio jamii iliyobakia na nidhamu isiyoshuhulika na viuno
 
Watu hawawezi kukuelewa hapa. Watatokwa sana na povu. Mimi nliwahi Mwuliza mchina mmoja very smart Marekani kwa nini asiende kufanya kazi kwao. Aliniambia hilo halitatokea hataki kwenda ishi China.
China kama wewe sio tajiri maisha yanakuwa mabaya sana, utaishia kuishi kwenye cage kama kuku, ndio maana wamejaa huko vijijini wanachezesha madubwi ya kamari.
 
Wachina wanalia machozi sasa Trump mjanja sana sana sana, huyu jamaa anakupiga engo zote kama kitenesi

wachina pesa ipo wanakimbilia Havard kusoma kisha wanaleta uchina Amerika, sasa mwamba kasema Wanafunzi wote wa kigeni walio Havard wahamishiwe kwingine kabla visa zao hazijaexpire na wamepewa muda mchache tu, mtoto wa XI nae ni mwanafunzi pale Havard

msako wa nyani tumbili haponi
Trump ni mpuuzi kuliko wapuuzi wote waliowahi kutokea, Wakati wa Vita vya Dunia all bright minds walikuwa wanataka kwenda sehemu ambapo watakuwa huru na kukutana watu wenye mawazo yanayofanana na kugundua vitu (na wakati huo USA ilikuwa inajinasibu kama land of the free) kwahio Bright minds nyingi zikaenda huko...

Huyu mpuuzi kwa kutaka sifa za short term analeta upuuzi wa kutaka kuendesha nchi kama genge la nyanya..., Hivi unajua ukiwaondoa Asians pale Silicon Valley wanabakia watu gani ?

Pili mtu mwenye busara hakai nyumbani anazunguka huku na kule kwa kuangalia wengine wanafanya nini na kujifunza ili aboreshe kwa manufaa yake na watu wake (Anachofanya Trump ni kurudi kwenye Dark Ages); If I have seen Further is by Standing on the Shoulders of the Giants....
 
Back
Top Bottom