Mr fantastic_
JF-Expert Member
- Feb 2, 2019
- 1,152
- 1,360
Kwasababu sisi huku tumeghubikwa na ujinga mwingi uliosababishwa na mifumo mibovu ya serikali.Kwann nass HUKU Tanganyika tusikop na kupaste?
Kwasababu sisi huku tumeghubikwa na ujinga mwingi uliosababishwa na mifumo mibovu ya serikali.Kwann nass HUKU Tanganyika tusikop na kupaste?
Kadanganya eti!! au kipi ni kipi!!!Nawe unataka kuamini upuuzi wa huyu dogo ?
Si mchezo.hata Chinese best brain hawataki kufanya kazi kwo mbona tunakimbizana nao huku duniani
Uko marekani ya bonyokwa labda. Halafu huyo trump mnampapatikia yeye anaangalia ya nchi yake ...nyinyi shithole country ya kwenu hamuyaoni ambayo ni mengi hakuna idadi ..umaskini, ujinga maradhi uchawi ufisadi, uchawa, ...hata huyo china mnaemcheka kwa kufanyiwa petty things na huyo mwehu itaichukua Tanzania labda miaka 100 kuifikia ..kama huyo mental retarded president kasanda Hadi akaamua kuita kikao Cha maridhiano ya tariffs kilichofanyika kule uswisi atawababaisha nini china.sema wewe ujenge nchi yako, wengine tunaijenga MARIKANI
Mwenye akili hutoka njee kutafuta maarifa mengineKama mtoto wa Xi yuko huko, ina maana wachina hawaikubali elimu yao?
Tunaongelea Technology Sijakataa field nyengine. Angalia field kama Engineer ambayo inazalisha hizo tech nyengine.Mbona taarifa yako inaonesha USA anaongoza overall kwenye kila nyanja. Yaani mfano wako ni sawa na shule moja kutoa mwanafunzi mmoja bora kitaifa alafu overall performance wakazidiwa.
Hata Australia, wachina ni wengi sana, lakini ukiongea nao, hawataki kabisa kusikia habari ya China.Watu hawawezi kukuelewa hapa. Watatokwa sana na povu. Mimi nliwahi Mwuliza mchina mmoja very smart Marekani kwa nini asiende kufanya kazi kwao. Aliniambia hilo halitatokea hataki kwenda ishi China.
Hata Australia, wachina ni wengi sana, lakini ukiongea nao, hawataki kabisa kusikia habari ya China.
Espionage cases za wachina kuja kwa kivuli Cha Uanafunzi ni kubwa kuliko kawaida.wachina pesa ipo wanakimbilia Havard kusoma kisha wanaleta uchina Amerika
source ni wikipedia ambayo mtu yeyote anajiandikia tu pasipo uthibiti wowote credible halafu chapisho linahusu Performance Ranking of Scientific Papers for World Universities so wewe unahitimisha kwamba kwenye engineering field na teknolojia mchina kampita mmarekani!!! aisee2014,
Sasa hivi Vyuo vingi vya China vina surpass vyuo vya Marekani atleast kwenye tech ngumu kama Engineer
Performance Ranking of Scientific Papers for World Universities - Wikipedia
en.m.wikipedia.org
umemaliza mchina kwenye kucopy kupiga chabo hana mpinzani ni mwizi haswaaaaaaMchina Hana elimu yoyote ya maana zaidi ni mjanja kwenye kucoppy na kupaste mambo kama yalivyo💯
Kwani Marekani chuo ni Harvard tu?Wachina wanalia machozi sasa Trump mjanja sana sana sana, huyu jamaa anakupiga engo zote kama kitenesi
wachina pesa ipo wanakimbilia Havard kusoma kisha wanaleta uchina Amerika, sasa mwamba kasema Wanafunzi wote wa kigeni walio Havard wahamishiwe kwingine kabla visa zao hazijaexpire na wamepewa muda mchache tu, mtoto wa XI nae ni mwanafunzi pale Havard
msako wa nyani tumbili haponi
...vinavizidi vyuo vya Marekani angalau kwenye tekinolojia ngumu kama uhandisi2014,
...vina surpass vyuo vya Marekani atleast kwenye tech ngumu kama Engineer
Performance Ranking of Scientific Papers for World Universities - Wikipedia
en.m.wikipedia.org
Binti yake Xi Jinping kasoma USA Harvard tena kozi yenyewe basi Bachelor of Arts degree in psychology!!! wanazi wa wachina waseme hapa katika vitu wanavyotumia watanzania katika maisha ya kila siku ni vipi hasa wagunduzi wake teknolojia hizi ni wachina na tafiti kutoka vyuo vya uchina? Labda yale madawa yao feki yanayoongoza kuua figoMkuu
hii sio kweli
vyuo vingi vya china bado saana
Publications, groundbreaking technologies zipi umeziona zimetoka china?
China wewe come up with your product kwa mass production nend akwao kutokana na cheap labour
hakuna lingine lolote
hata Chinese best brain hawataki kufanya kazi kwo mbona tunakimbizana nao huku duniani
Marekani haina mwenyeji, Trump anajitekenya na kucheka mwenyeweWachina wanalia machozi sasa Trump mjanja sana sana sana, huyu jamaa anakupiga engo zote kama kitenesi
wachina pesa ipo wanakimbilia Havard kusoma kisha wanaleta uchina Amerika, sasa mwamba kasema Wanafunzi wote wa kigeni walio Havard wahamishiwe kwingine kabla visa zao hazijaexpire na wamepewa muda mchache tu, mtoto wa XI nae ni mwanafunzi pale Havard
msako wa nyani tumbili haponi
Unajua kuwa kuna idadi kubwa sana ya wanasayansi Wachina waliokuwa Marekani wanarudi China?Watu hawawezi kukuelewa hapa. Watatokwa sana na povu. Mimi nliwahi Mwuliza mchina mmoja very smart Marekani kwa nini asiende kufanya kazi kwao. Aliniambia hilo halitatokea hataki kwenda ishi China.
Unajitahidi sana kuandika pumbaBinti yake Xi Jinping kasoma USA Harvard tena kozi yenyewe basi Bachelor of Arts degree in psychology!!! wanazi wa wachina waseme hapa katika vitu wanavyotumia watanzania katika maisha ya kila siku ni vipi hasa wagunduzi wake teknolojia hizi ni wachina na tafiti kutoka vyuo vya uchina? Labda yale madawa yao feki yanayoongoza kuua figo
Kama Hujui kutumia Wikipedia sio kosa langu omba ufundishwe, mtu yoyote muelewa anaweza tofautisha Wikipedia fake na Original. Article feki haina citation.source ni wikipedia ambayo mtu yeyote anajiandikia tu pasipo uthibiti wowote credible halafu chapisho linahusu Performance Ranking of Scientific Papers for World Universities so wewe unahitimisha kwamba kwenye engineering field na teknolojia mchina kampita mmarekani!!! aisee
wachina pesa ipo wanakimbilia Havard kusoma kisha wanaleta uchina Amerika, sasa mwamba kasema Wanafunzi wote wa kigeni walio Havard wahamishiwe kwingine kabla visa zao hazijaexpire na wamepewa muda mchache tu, mtoto wa XI nae ni mwanafunzi pale Havard