Wachokonozi waachiwa huru, wakamatwa tena na kushtakiwa upya

Wachokonozi waachiwa huru, wakamatwa tena na kushtakiwa upya

Jamii ambayo haipo tayari kupokea mitizamo tofauti ni jamii ilio laaniwa.
 
Serikali ya huyu mama sasa ni bora liende ndio maana Polepole alisema ni kama nyumba haina mwenyewe.

Hao vijana ukisikiliza postcads zao wanachokiongea ni uhalisia na ni haki yao kikatiba kutoa maoni ila wanaishia kukamatwa.

Huku majizi yanaogelea kwenye pesa za walipa kodi na CAG anawataja kila mwaka na hakuna anayekamatwa hata mmoja ndio kwanza wanaitwa wamehishimiwa.
 
Back
Top Bottom