Kabisa, ngoja wapigwe pini za kutosha kisha wakafungwe wachokonolewe vizuri gerezaniHao wachokonozi huwa ni wajinga mno. Kuna post yao wanaunga mkono ukeketaji kwa wanawake. Watu kama hawa wasipodhibitiwa watapotosha umma
Watu hawajatazama video zao kujua upuuzi wanaoongelea hawa wachokonozi. Ni vijana waliojaa dharau na ujuaji. Kuna clip wanakebehi watu kumwita Rais mama... nikauliza wanataka aitwe baba? Wamepost ujinga mwingi sana kwenye social media.Kabisa, ngoja wapigwe pini za kutosha kisha wakafungwe wachokonolewe vizuri gerezani
Ile nyimbo ilimuweka kwenye wakati mgumu....ndomana kaishia kusifiasifiaRefer to Mrisho Mpoto, ile nyimbo yake ya mjomba wakati wa JK ilimuweka kando na watawala, sasa hivi baada ya kuusoma mchezo kageuka vuvuzela na mwendo wa ngiri kila anapofanya ziara za ndani nchi Mama basi Mrisho Mpoto ni kama mkia humkosi anavuta per diem zake na bahasha daily.
Na vile amejuwa kukaririshwa miradi na figure basi Mama humwambii kitu kwa Mpoto.
Hiyo ndio Tanzania yetu ilipofikia.
Adhabu yakeDah! Kama hawana leseni hapo kuna ugumu sana!
Ah.Adhabu: Mtuhumiwa, akishatikiswa na kuhukumiwa, atapewa faini ya Sh300,000 au adhabu nyingine kama Sheria inavyoeleza
Muungano ufe Tanganyika iwe huruJackson Kabalo na Joseph Mrindoko wanaojulikana kama “Wachokonozi” jana Juni 27, 2025 walifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha na kushtakiwa kwa makosa mawili ya kuchapisha taarifa za uongo kinyume na kifungu namba 16 cha Sheria ya Makosa ya Mtandao (Cybercrimes Act) na kosa la pili ni kutoa maudhui mtandaoni bila ya kuwa na leseni kinyume na kifungu namba 116(3)(b) cha Sheria ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta (Kanuni za Maudhui Mtandaoni).
Baada ya kusomewa mashitaka, Kabalo na Mrindoko walipatiwa dhamana kutokana na makosa wanayotuhumiwa nayo kuwa na sifa ya kupata dhamana na hivyo kesi hiyo itatajwa tena kwaajili ya usikilizwaji wa hoja za awali Juni 21 Julai 2025.
Watuhumiwa wote wanawakilishwa na mawakili Ally Mhyellah na Simon Mbwambo kutoka Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC).
Vijana hao walikamatwa Juni 20, 2025 katika Kijiji cha Maji ya Chai wilayani Arumeru Mkoa wa Arusha na Kamanda wa Polisi mkoa huo, Justin Masejo alithibitisha kukamatwa kwao
muongo mkubwa hao vijana siyo zero brain kama wewe. wanajielewa sana.Hao wachokonozi huwa ni wajinga mno. Kuna post yao wanaunga mkono ukeketaji kwa wanawake. Watu kama hawa wasipodhibitiwa watapotosha umma
Wapo sahihi yule ni rais wa nchi sio mama nchi, vijana na watoto wa 2000 rais Samia ni kama bibi yao na wazee wengine Samia ni kama mdogo wao au dada yaoWatu hawajatazama video zao kujua upuuzi wanaoongelea hawa wachokonozi. Ni vijana waliojaa dharau na ujuaji. Kuna clip wanakebehi watu kumwita Rais mama... nikauliza wanataka aitwe baba? Wamepost ujinga mwingi sana kwenye social media.
Mkuu walikulazimisha ukeketwe??Hao wachokonozi huwa ni wajinga mno. Kuna post yao wanaunga mkono ukeketaji kwa wanawake. Watu kama hawa wasipodhibitiwa watapotosha umma
Keyboard warrior hilo swali kaulize polisiMkuu walikulazimisha ukeketwe??
Keyboard warrior mnawaponza sana vijana wapuuzi kama wachokonozi... dola ina njia nyingi za kuwaadabisha watu kama weweWapo sahihi yule ni rais wa nchi sio mama nchi, vijana na watoto wa 2000 rais Samia ni kama bibi yao na wazee wengine Samia ni kama mdogo wao au dada yao
Mbona Magufuli alikuwa haitwi baba Magufuli
Watajielewa zaidi kizimbanimuongo mkubwa hao vijana siyo zero brain kama wewe. wanajielewa sana.
Logic yao.ilikuwa ni nini kutetea utekaji kwa wanawakeHao wachokonozi huwa ni wajinga mno. Kuna post yao wanaunga mkono ukeketaji kwa wanawake. Watu kama hawa wasipodhibitiwa watapotosha
Kuna logic kwenye kutetea uovu? Umeuliza swali la kipumbavu sana.Logic yao.ilikuwa ni nini kutetea utekaji kwa wanawake
Wana bahati sana wamerudi next tym hawaturudi na wala kujua wamechukuliwa na nani.Jackson Kabalo na Joseph Mrindoko wanaojulikana kama “Wachokonozi” jana Juni 27, 2025 walifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha na kushtakiwa kwa makosa mawili ya kuchapisha taarifa za uongo kinyume na kifungu namba 16 cha Sheria ya Makosa ya Mtandao (Cybercrimes Act) na kosa la pili ni kutoa maudhui mtandaoni bila ya kuwa na leseni kinyume na kifungu namba 116(3)(b) cha Sheria ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta (Kanuni za Maudhui Mtandaoni).
Baada ya kusomewa mashitaka, Kabalo na Mrindoko walipatiwa dhamana kutokana na makosa wanayotuhumiwa nayo kuwa na sifa ya kupata dhamana na hivyo kesi hiyo itatajwa tena kwaajili ya usikilizwaji wa hoja za awali Juni 21 Julai 2025.
Watuhumiwa wote wanawakilishwa na mawakili Ally Mhyellah na Simon Mbwambo kutoka Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC).
Vijana hao walikamatwa Juni 20, 2025 katika Kijiji cha Maji ya Chai wilayani Arumeru Mkoa wa Arusha na Kamanda wa Polisi mkoa huo, Justin Masejo alithibitisha kukamatwa kwao