‘Wachokonozi’ wapandishwa kizimbani Arusha kwa ‘Makosa ya Kimtandao’

Tunaomba kesi Yao irushwe live ili tujifunze Sheria ya mtandao inavyopaswa kufuatwa.
 
Kwa idadi kubwa ya vijana wa hovyo wanaokimbilia siasa na hawaelewi ata basics.

Ingelikuwa mimi nina maamuzi yule mchambuzi wa siasa kwenye kipindi ‘wachokonozi’ anatakiwa kutafutiwa role serikalini au kutengenezwa kuwa kiongozi wa kesho.

Yule dogo anaufahamu mpana wa siasa kuliko 90% ya wachangiaji wa jukwaa la siasa.

Siasa ni academic discipline tofauti na uchangiaji wa ili jukwaa. Walau yule dogo unaona kasoma au kajifunza siasa kutokana na uchambuzi wake (rare in Tanzania).

Ndio ukweli, ukisoma posts za hili jukwaa over 95% of contributors hawajawai kusoma kitabu cha siasa.
 
🙋✍️🎯👌👍👊👏🤝🙏
 
Adhabu: Mtuhumiwa, akishatikiswa na kuhukumiwa, atapewa faini ya Sh300,000 au adhabu nyingine kama Sheria inavyoeleza
Nasisi tumegundua wakitoa faini hatuwalipii maana tukichanga kuwalipia ndo inakuwa mazima hatuwaoni tena wenye mamlaka na roho za watu wanakuwa wamefanya yao
 
Back
Top Bottom