Wachungaji kutaka fungu la kumi kwa lazima

Kwa maelezo yako inaonekana upo mwanza. Nicheck inbox nikupe ushauri
 
Acha kulalamika hapa ndugu makanisa ya T A G ni mengi rafiki ama kabisa tafuta kanisa lingine la TAG.Sifa kubwa ya mchungaji ni kuwa na huruma.
 
Hapa kuna kitu hakiko sawa kwenye mambo ya imaini. Kwanza nakupa pole kwa huo usumbufu kutoka kwa mchungaji wako kiimani. Pili sisi wanadamu tunatakiwa kujitafakari na hizi imani zetu za kiroho sasa hivi wanadhihirisha ule msemo wa nipe Yesu nikupe ardhi yangu. Yaani huyo Yesu amekuwa ndiyo silaha kubwa inyotumika kuwapora watu kwa nguvu mali zao, unakutu eti pasta sijuhi mchungaji anakuombe kwa huyo Yesu kisha anadai pesa kwa kutamka vijineno eti nakuponya kwa jina la Yesu kisha ankinga mkono ulichonacho utoe. Mtu kila siku atoa hiyo sadaka mara fungu la kumi tena kwa nguvu lakini anadumu fukara na mchungaji anaedesha v8 .
 
Wanaume mnaojielezea Sana mnakera

Endelea kutoa zaka acha kujilalamisha
Umeamua mwenyewe.
Hakuna mtu anatoa zaka hapa kama mwanaume hata tukienda bar zaka tunatoa mara ninunulie moja tunanunua nayo ni zaka pia
 
Mwanaume mzima unaenda kwenye makanisa ya kitapeli....hayo wanaenda wanawake tu, ndio wenye akili za kutapeliwa
Acha uzwazwa, kuna nyumba ya ibada isiyokuwa na matoleo ? Mbona mnatoa kwa waganga wa kienyeji wakati mnapunga majini ? MPE Bwana Yesu maisha yako.
 
Acha uzwazwa, kuna nyumba ya ibada isiyokuwa na matoleo ? Mbona mnatoa kwa waganga wa kienyeji wakati mnapunga majini ? MPE Bwana Yesu maisha yako.
Huyo Yesu uliwahi kumwona? Ama ni zile picha za Hollywood na sinema zao za kutumpubaza akili eti Yesu mweupe alitoa maisha yake kufa kwa wewe mweusi. Wewe unajuaje kuwa huyo Yesu unayemwabudu hakuwa mganga wa kiyenyeji.
 
Nielimisheni kifungu cha zaka la kanisa kinasemaje.
 
Mchicha haaahaaahaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nielimisheni kifungu cha zaka la kanisa kinasemaje.
Ni project tu za watu kuwajaza hofu watu wazembe na wajinga kujipatia kipato.

Mungu hajaumba pesa na wala hana shida ya pesa yako.
 
Nyie watu mmevurugwa sana na hili fundisho la Zaka... Eti Zaka inaweza kumlinda mama na ugonjwa... Kwa hiyo ni unanunua uponyaji kutoka kwa Mungu?

Yaani ili Mungu amponye mama yake, inabidi yeye atoe Zaka... kwa hiyo ni nipe nikupe kati ya mwanadamu na Mungu???

Amkeni nyie watu, Hakuna mahali popote pale ambapo Mungu amekuagiza wewe mtu usiye chini ya Torati kutoa Fungu la Kumi.. HAKUNA.

Hiyo Malaki 3:10 ni mkazo wa fundisho la Torati, wewe upo chini ya Torati?
 
Toa fungu la kumi litakulinda na magonjwa hata bi mkubwa anaweza kupona huo ugonjwa unaokula Hela , maana tunajua MUNGU akuleta magonjwa duniani magonjwa ni ya shetani , msikilize Mchungaji wako utanishukuru.
Kwa hiyo Mungu anahitaji hela yako(Zaka) ili akuponye!!!!

Yani ili Mungu akulinde wewe, anahitaji umpe hela!!

Nyie watu mtaendelea kuliwa hela zenu mpaka lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…