Wachungaji kutaka fungu la kumi kwa lazima

Wachungaji kutaka fungu la kumi kwa lazima

Kuna mjane alikuwa na shida akauza nyumbani yake,na Mchungaji wake ndo alimtafutia mteja kwa m 150.Mteja akatanguliza m100.Mchungaji akakata m15 mjane akapewa m85, Mchungaji akamwambia mjane nimekata fungu la kumi kabisa. Then Mchungaji akampiga mzinga mjane amkopeshe milioni 3 atamrejeshea, mjane aliyekuwa Mhanga wa imani akamkopesha Mchungaji, kesho Mchungaji akaingia show room akavuta toyota crown mpya kwa m17. Akamsogeza mjane kwenye ulezi wa kanisa KILA michango ya kanisa mama kawa brainwashed eti anajenga hazina yake mbinguni akawa wa ye wa kutoa tu.
Hapa Mchungaji katumia Mungu kumfanyia utapeli mjane.
Watu wafunze kutoa then wao ndo watoe kwa imani
Haukuwa utapeli

Fungu la kumi ni kwaajili ya kuhani.
 
A toxic person, ina maana hajali kuwa unauguliwa?

Mimi kama kuna watu hawawezi kunipata ni hao wachungaji toxic, Sadaka yangu na zaka na malimbuko najua ninapoyapeleka mwenyewe na hakika sijawahi pungukiwa.

Kuna watoto hawana chakula, hawana mavazi nichukue pesa nimpelekee mtu anayesomesha watoto wake St.constantine? Hapana sio mimi, kila mtu atumie pesa zake atakavyo.
Fungu la kumi ni ya kwanza kabisa, kabla hujapanga bajeti yako

Unaweza kuona ni shida ya mchungaji anataka hela lakini zaka ni ya Mungu na agizo

Lakini utoe kwa hiyari na si kwa kulazimishwa

Na usipotoa ni kosa kubwa.

Unaweza endelea uguza mpaka senti yako ya mwisho

Zaka inaweza kukulinda na ugonjwa wa mama na matatizo mengine.

Lakini pia kama unajua vizuri kuhusu sadaka, unatoa tu hata kama huendi kanisani

Kwani sh ngapi jamani inakuuma? Unatoaga sadaka kubwa sana?

Si unatuma tu hata elfu 2, buku, tano, kumi.

Hizo zaka Mungu anazipokeaje? Anarushiwa hewani ama zinaliwa hapa hapa duniani na wajanja wachache

Je wagonjwa wanaoteseka na kansa, stroke na mengineyo walikuwa hawatoi Zaka?
 
Wakuu habarini

Mimi ni muumini wa kanisa la mahali pamoja ambalo ni T.A.G(X)

Jana nimepokea ujumbe wa kunikwaza kunifedhehesha na kunifanya nione kama natwaga maji kwenye kitu

Jana mchungaji kanitumia msg akiniuliza mbona sijahudhuria jana kanisani? Au na mpango wa kuhama kanisa !!

Nami 'nikamjibu kwa kumpigia simu nikamwambia mbona nilikuandikia msg kuwa nadharula sitahudhuria ibadani hukuupata ujumbe na nilimtumia pia na mzee nikakata simu nikascreen short msg nikamtumia whatsap

Akanijibu kuwa dharula zipo ila kama ni siku ya ibaada utume sadaka na michango , ni muhimu sana nikaa kimya

Leo Asubuhi nimeamka asubuhi nikiwa na ratiba ya kutoka kumpeleka mama yangu mzazi cliniki ya dialysis Bugado wakati natoa kausafiri kwenye chasis number alikuwa anapita tukasalimiana na kumwambia tunaelekea Hospital akasema sawa na hongera nyingi za kunua kausafiri kapya.

Imefika saa nne nipo hospitali naona Msg tena
akiniandikia ujumbe unasomeka hivi"

Leo ni mwisho wa mwezi na jana haukuwepo ibadani Tuma sasa hivi FUNGU LAKO LA KUMI UTUME NA HELA YA KUTOLEA KANISA LINA MADENI MENGI ""

Nikausoma nikatulia nakuvuta pumzi nikamtumia msg KUWA KWA SASA SINA PESA, FEDHA NINAYOBAKIA NAYO NI KWA AJILI YA MATUMIZI MUHIMU YA FAMILIA NAJUA PIA ZAKA UMUHIMU WAKE, nikikaa sawa nitatoa wala haina shida na hapo ndio nilikuwa najiandaa kulipia matibu ya mama kila mwezi natakiwa kulipia Milion 3 .8 kwa ajili ya dialsis ,mwez huu mambo yameyumba kabisa .

Akajibu tena wewe unabadili tu magari kwa habari ya zaka hutaki kutoa nikamwambia kwani zaka ni lazima lini sijatoa zaka zaidi ya mwezi huu nimepata msiba, na unanihusu kwa sehemu kubwa sina fedha na ninauguliwa wewe mwenyewe shahidi hali ya mzazi wangu Muda wote gari inapaswa kuwa na mafuta, muda wowote hali inabadilika tukawa tumeachana hivyo

Sasa hebu mnisaidie huu utaratibu unatoka wapi kwanini sadaka na zaka ni lazima au ni vile mtu anavyoguswa kulingana na Vile anavyopata! Maana Mungu anasema nijaribu sasa huku Naona mchungaji anatumia command utadhani kanipa yeye kisa anamadeni.

Hebu nipeni njia itakayoniondoa kanisa mikwaruzo na Mchungaji
Neno la Mungu linasema"toeni Kwa moyo wa kupenda na Wala si Kwa shuruti" wakati wa agano la kale kutoa zaka ilikuwa ndo lazima lakini Leo hii wakati wa agano jipya,kutoa ni hiyari Kwa jinsi unavyosukumwa na moyo wako. Huyo mchungaji na wenzake wengi kama yeye wanatumia zaka ya agano la kale kama kichaka Cha unyanganyi Kwa ajili ya manufaa yao ya kifamilia. Wanatamani muumini atoe chote alichonacho Kisha abaki maskini. Mpuuze huyo pasta, ni aheri umtibishe mama yako na kuwasaidia wenye shida. Makanisa yao wamegeuza kama biashara.
 
Mimi si mkristo. Ila hii inaonekana kabisa umetunga usikie maoni ya watu na kuwaoesha una badili vyombo vya usafiri. UTUNZI WAKO NI WA KITOTO WA MWANAFUNZI WA DARASA LA 4 KWENYE SOMO LA UTUNGAJI. HAMNA KITU
Kama nimetunga ni sawa ubarikiwe sikulazimishi ukubali lakini ukweli naujua mwenyewe wala sio ww kama yapo haya mambo na yameniyokea mm mwenyewe halafu unaleta porojo za upupu
 
Mimi si mkristo. Ila hii inaonekana kabisa umetunga usikie maoni ya watu na kuwaoesha una badili vyombo vya usafiri. UTUNZI WAKO NI WA KITOTO WA MWANAFUNZI WA DARASA LA 4 KWENYE SOMO LA UTUNGAJI. HAMNA KITU
Hii barua ni ya nn yaani nisingizie kuuguza mbn itakuwa ujinga hujui hali ninayopitia
IMG-20220901-WA0008.jpg
 
Ni kwamba hawafuati mafundisho ya Muhammad kikamilifu , alikuwa huwezi muona mpaka utangulize chochote kitu
soma
Koran 58:12. Enyi mlio amini! Mnapo sema siri na Muhammad, basi tangulizeni sadaka kabla ya kusemezana kwenu.....
Funika kombe mwanaharamu.apite

Jitahidi watu wasijue kama huna akili hlf nishakujua wala sikujibu
 
Fungu la kumi ni ya kwanza kabisa, kabla hujapanga bajeti yako

Unaweza kuona ni shida ya mchungaji anataka hela lakini zaka ni ya Mungu na agizo

Lakini utoe kwa hiyari na si kwa kulazimishwa

Na usipotoa ni kosa kubwa.

Unaweza endelea uguza mpaka senti yako ya mwisho

Zaka inaweza kukulinda na ugonjwa wa mama na matatizo mengine.

Lakini pia kama unajua vizuri kuhusu sadaka, unatoa tu hata kama huendi kanisani

Kwani sh ngapi jamani inakuuma? Unatoaga sadaka kubwa sana?

Si unatuma tu hata elfu 2, buku, tano, kumi.
Acha utapeli
 
Mungu anataka sadaka yako toka lini?
 
Endeleeni kupigwa kwa mujibu wa torati mwenye haki ya kula au kupokea zaka ni mlawi na wajane walawi lilikuwa kabila mojawapo la israel ambalo lilitengwa special kwa utumishi leo hatuna walawi sasa unatoaje zaka?
 
Funika kombe mwanaharamu.apite

Jitahidi watu wasijue kama huna akili hlf nishakujua wala sikujibu
Aya ipo wazi unatanguliza sadaka , bora ata angesema baada ya huduma ndio sadaka
Koran 58:12. Enyi mlio amini! Mnapo sema siri na Muhammad, basi tangulizeni sadaka kabla ya kusemezana kwenu.....
 
Amembariki kwani yeye Mungu?

Mbona mnakuwa na majibu mepesi kwa mambo ya msingi kama imani?na kwanini mchungaji adai sadaka zaka etc kwa waamini personal hakuna kamati zinazosimamia hayo?kama zipo ni nani anayezinyang’anya mamlaka ya kufanya kazi yake?

Na kwa lengo gani?obviously ni huyo huyo mchungaji.
Wengi wetu tunakoses hapo. Kwamba Mungu anasikia maombi na sala toka kwa wachungaji tu, kwamba ukiomba wewe mwenyewe sala na maombi yako hatayasikia. Maandiko yapo wazi kwa Hilo, ombeni mtapewa, bisheni mtafunguliwa. Na zaidi ya hapo kwenda kwa Baba si kwa kupitia kwa Mchungaji. Alisema Yesu mtu haendi kwa Baba bila kupitia kwake.
 
Wakuu habarini

Mimi ni muumini wa kanisa la mahali pamoja ambalo ni T.A.G(X)

Jana nimepokea ujumbe wa kunikwaza kunifedhehesha na kunifanya nione kama natwaga maji kwenye kitu

Jana mchungaji kanitumia msg akiniuliza mbona sijahudhuria jana kanisani? Au na mpango wa kuhama kanisa !!

Nami 'nikamjibu kwa kumpigia simu nikamwambia mbona nilikuandikia msg kuwa nadharula sitahudhuria ibadani hukuupata ujumbe na nilimtumia pia na mzee nikakata simu nikascreen short msg nikamtumia whatsap

Akanijibu kuwa dharula zipo ila kama ni siku ya ibaada utume sadaka na michango , ni muhimu sana nikaa kimya

Leo Asubuhi nimeamka asubuhi nikiwa na ratiba ya kutoka kumpeleka mama yangu mzazi cliniki ya dialysis Bugado wakati natoa kausafiri kwenye chasis number alikuwa anapita tukasalimiana na kumwambia tunaelekea Hospital akasema sawa na hongera nyingi za kunua kausafiri kapya.

Imefika saa nne nipo hospitali naona Msg tena
akiniandikia ujumbe unasomeka hivi"

Leo ni mwisho wa mwezi na jana haukuwepo ibadani Tuma sasa hivi FUNGU LAKO LA KUMI UTUME NA HELA YA KUTOLEA KANISA LINA MADENI MENGI ""

Nikausoma nikatulia nakuvuta pumzi nikamtumia msg KUWA KWA SASA SINA PESA, FEDHA NINAYOBAKIA NAYO NI KWA

Hebu nipeni njia itakayoniondoa kanisa mikwaruzo na Mchungaji
ww ukiwa sawa na Mungu wako si basi ht km mchungaji akikuona mwovu mbn poa tu
 
wajanja wanapiga sana pesa hapa mjini, jamaangu alianza km utani huko mkoani akaniita tukakomae nkazngua baada ya kukuta waumini hawazidi watano, saivi najuta aisee...MJINI SHULE
 
Back
Top Bottom