Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 135,167
- 160,806
Toa ulichonacho, Mungu anakuona mpaka rohoni...Na usimpe kabisa....Tena kabisa 😏
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toa ulichonacho, Mungu anakuona mpaka rohoni...Na usimpe kabisa....Tena kabisa 😏
Kwahiyo ni msikitini au kanisani tutaenda?Toa ulichonacho, Mungu anakuona mpaka rohoni...
Tukiwa na hela dini hazitatusimanga...Kwahiyo ni msikitini au kanisani tutaenda?
Hakika,nimejiwazia Jana nikasema ningekuwa na Hela nisingemsumbua mtu na ningeaminika pia.As usual nikatoa mchoz wa hasira nikatulia😉Tukiwa na hela dini hazitatusimanga...
Hata ukisema huna dini, utashangiliwa...
Pole sanaHakika,nimejiwazia Jana nikasema ningekuwa na Hela nisingemsumbua mtu na ningeaminika pia.As usual nikatoa mchoz wa hasira nikatulia[emoji6]
NImecheka sana... Na sauti yaki ilivyo nzuri sasa, hata ukilia ni kama unadeka vile...Hakika,nimejiwazia Jana nikasema ningekuwa na Hela nisingemsumbua mtu na ningeaminika pia.As usual nikatoa mchoz wa hasira nikatulia😉
Asante mkuu,mi naamini sahani yangu bado.Mambo yatakaa level tuPole sana
🤣🤣🤣Niache jirani tafadhaliNImecheka sana... Na sauti yaki ilivyo nzuri sasa, hata ukilia ni kama unadeka vile...
Tumaini letuuHamia Kanisa Takatifu Katoliki la Mitume uje ufaidi mema yote ya huu ulimwengu! Huku kwetu hakuna mambo ya kufuatana! Paroko yuko zake busy huko Parokiani!
Uende Kanisani, usiende! Hakuna anayejali! Umetoa zaka, hujatoa! Hakuna atakaye kusumbua! Watu wanamwagilia moyo kwa kipimo! Maana hata Mapadre wenyewe wanamwagilia sana tu!
Hakika ukiwa muumini wa RC migogoro utaisikia kwa majirani tu!
Kristu....!
Tumsifu Yesu Kristu.....!!
Kanisa la Kisinodiii....!
Kwani kumunua gari Tatizo mkuu gari niliipia toka mwezi sita ,mwez kuna mambo ya kifamilia yamenibana hivyo sitoi fungu la kumi sitaki kutoa kinafiki
Sasa ndo amfatiliee hivyo??Fungu la kumi ni ya kwanza kabisa, kabla hujapanga bajeti yako
Unaweza kuona ni shida ya mchungaji anataka hela lakini zaka ni ya Mungu na agizo
Lakini utoe kwa hiyari na si kwa kulazimishwa
Na usipotoa ni kosa kubwa.
Unaweza endelea uguza mpaka senti yako ya mwisho
Zaka inaweza kukulinda na ugonjwa wa mama na matatizo mengine.
Lakini pia kama unajua vizuri kuhusu sadaka, unatoa tu hata kama huendi kanisani
Kwani sh ngapi jamani inakuuma? Unatoaga sadaka kubwa sana?
Si unatuma tu hata elfu 2, buku, tano, kumi.
ignore matatizo na changamoto zote utaishi kwa amani sana.Asante mkuu,mi naamini sahani yangu bado.Mambo yatakaa level tu
Unalia kitajiri...🤣🤣🤣Niache jirani tafadhali
NashukuruUnalia kitajiri...
Ukilia hua nachekaga sana... Unaanza sauti ndogo inapanda inapanda mpaka kubwa kabisa alafu unashuka taratibu hahahaha...
Tatizo lenu nyinyi wapuuzi biblia amsomi kwa kutumia akili ...fungu la 10 ni udanganyifu mkubwa sana mnadanganywa kwa sababu amjui fungu la 10 ni nini tena lilikuwa linatolewa wapi ..kuthibitisha upumbavu wenu ni kwamba amjui maana ya HEKALUWakuu habarini
Mimi ni muumini wa kanisa la mahali pamoja ambalo ni T.A.G(X)
Jana nimepokea ujumbe wa kunikwaza kunifedhehesha na kunifanya nione kama natwaga maji kwenye kitu
Jana mchungaji kanitumia msg akiniuliza mbona sijahudhuria jana kanisani? Au na mpango wa kuhama kanisa !!
Nami 'nikamjibu kwa kumpigia simu nikamwambia mbona nilikuandikia msg kuwa nadharula sitahudhuria ibadani hukuupata ujumbe na nilimtumia pia na mzee nikakata simu nikascreen short msg nikamtumia whatsap
Akanijibu kuwa dharula zipo ila kama ni siku ya ibaada utume sadaka na michango , ni muhimu sana nikaa kimya
Leo Asubuhi nimeamka asubuhi nikiwa na ratiba ya kutoka kumpeleka mama yangu mzazi cliniki ya dialysis Bugado wakati natoa kausafiri kwenye chasis number alikuwa anapita tukasalimiana na kumwambia tunaelekea Hospital akasema sawa na hongera nyingi za kunua kausafiri kapya.
Imefika saa nne nipo hospitali naona Msg tena
akiniandikia ujumbe unasomeka hivi"
Leo ni mwisho wa mwezi na jana haukuwepo ibadani Tuma sasa hivi FUNGU LAKO LA KUMI UTUME NA HELA YA KUTOLEA KANISA LINA MADENI MENGI ""
Nikausoma nikatulia nakuvuta pumzi nikamtumia msg KUWA KWA SASA SINA PESA, FEDHA NINAYOBAKIA NAYO NI KWA AJILI YA MATUMIZI MUHIMU YA FAMILIA NAJUA PIA ZAKA UMUHIMU WAKE, nikikaa sawa nitatoa wala haina shida na hapo ndio nilikuwa najiandaa kulipia matibu ya mama kila mwezi natakiwa kulipia Milion 3 .8 kwa ajili ya dialsis ,mwez huu mambo yameyumba kabisa .
Akajibu tena wewe unabadili tu magari kwa habari ya zaka hutaki kutoa nikamwambia kwani zaka ni lazima lini sijatoa zaka zaidi ya mwezi huu nimepata msiba, na unanihusu kwa sehemu kubwa sina fedha na ninauguliwa wewe mwenyewe shahidi hali ya mzazi wangu Muda wote gari inapaswa kuwa na mafuta, muda wowote hali inabadilika tukawa tumeachana hivyo
Sasa hebu mnisaidie huu utaratibu unatoka wapi kwanini sadaka na zaka ni lazima au ni vile mtu anavyoguswa kulingana na Vile anavyopata! Maana Mungu anasema nijaribu sasa huku Naona mchungaji anatumia command utadhani kanipa yeye kisa anamadeni.
Hebu nipeni njia itakayoniondoa kanisa mikwaruzo na Mchungaji
Dawa ni kuanzisha kanisa lako utakuwa unajilipa fungu la kumi mwenyeweWakuu habarini