Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
....Inaelekea Umemuendekeza Toka mwanzo!Wakuu habarini
Mimi ni muumini wa kanisa la mahali pamoja ambalo ni T.A.G(X)
Jana nimepokea ujumbe wa kunikwaza kunifedhehesha na kunifanya nione kama natwaga maji kwenye kitu
Jana mchungaji kanitumia msg akiniuliza mbona sijahudhuria jana kanisani? Au na mpango wa kuhama kanisa !!
Nami 'nikamjibu kwa kumpigia simu nikamwambia mbona nilikuandikia msg kuwa nadharula sitahudhuria ibadani hukuupata ujumbe na nilimtumia pia na mzee nikakata simu nikascreen short msg nikamtumia whatsap
Akanijibu kuwa dharula zipo ila kama ni siku ya ibaada utume sadaka na michango , ni muhimu sana nikaa kimya
Leo Asubuhi nimeamka asubuhi nikiwa na ratiba ya kutoka kumpeleka mama yangu mzazi cliniki ya dialysis Bugado wakati natoa kausafiri kwenye chasis number alikuwa anapita tukasalimiana na kumwambia tunaelekea Hospital akasema sawa na hongera nyingi za kunua kausafiri kapya.
Imefika saa nne nipo hospitali naona Msg tena
akiniandikia ujumbe unasomeka hivi"
Leo ni mwisho wa mwezi na jana haukuwepo ibadani Tuma sasa hivi FUNGU LAKO LA KUMI UTUME NA HELA YA KUTOLEA KANISA LINA MADENI MENGI ""
Nikausoma nikatulia nakuvuta pumzi nikamtumia msg KUWA KWA SASA SINA PESA, FEDHA NINAYOBAKIA NAYO NI KWA AJILI YA MATUMIZI MUHIMU YA FAMILIA NAJUA PIA ZAKA UMUHIMU WAKE, nikikaa sawa nitatoa wala haina shida
Akajibu tena wewe unabadili tu magari kwa habari ya zaka hutaki kutoa nikamwambia kwani zaka ni lazima lini sijatoa zaka zaidi ya mwezi huu nimepata msiba, na unanihusu kwa sehemu kubwa sina fedha na ninauguliwa wewe mwenyewe shahidi hali ya mzazi wangu Muda wote gari inapaswa kuwa na mafuta, muda wowote hali inabadilika tukawa tumeachana hivyo
Sasa hebu mnisaidie huu utaratibu unatoka wapi kwanini sadaka na zaka ni lazima au ni vile mtu anavyoguswa kulingana na Vile anavyopata! Maana Mungu anasema nijaribu sasa huku Naona mchungaji anatumia command utadhani kanipa yeye kisa anamadeni.
Hebu nipeni njia itakayoniondoa kanisa mikwaruzo na Mchungaji
Anzidha kanisa lako.Hio habari ya kwenda kwenye makanisa ya watu ndo inaleta dharauWakuu habarini

Sijawahi kuwa na mazoea na mchungaji mm mtu wa ibaada ikiisha nasepa chap mapema sana sinaga mambo ya porojo wala lojo kubaki church wala kupiga naye story sema tu yeye ananichukulia kuwa nina hela sana anavyoona namudu matibabu ya mama yangu kila mwezi nalipa Milion 4 ,kwa ajili ya dialysisi ...na huku mambo mengine yakienda barabara....Inaelekea Umemuendekeza Toka mwanzo!
Mchungaji anakupigia simu kukumbusha Zaka??
Umemuendekeza Toka Mwanzo! Mpe Sasa!
Saint Anne hebu njoo huku mdogo wangu.....Dada zetu wa kinyakyusa hawa wachungaji wanawapiga sana pesa
Aiseeeee.......Wapige Tu katika 10,000 fungu la 1,000 wapige Tu.
Alafu Kunguru wa Manzese niache na imani yangu🤣
Zaka(fungu la kumi) halihusiani na hali yako ya maisha sijui kuyumba sijui nnWakuu habarini
Mimi ni muumini wa kanisa la mahali pamoja ambalo ni T.A.G(X)
Jana nimepokea ujumbe wa kunikwaza kunifedhehesha na kunifanya nione kama natwaga maji kwenye kitu
Jana mchungaji kanitumia msg akiniuliza mbona sijahudhuria jana kanisani? Au na mpango wa kuhama kanisa !!
Nami 'nikamjibu kwa kumpigia simu nikamwambia mbona nilikuandikia msg kuwa nadharula sitahudhuria ibadani hukuupata ujumbe na nilimtumia pia na mzee nikakata simu nikascreen short msg nikamtumia whatsap
Akanijibu kuwa dharula zipo ila kama ni siku ya ibaada utume sadaka na michango , ni muhimu sana nikaa kimya
Leo Asubuhi nimeamka asubuhi nikiwa na ratiba ya kutoka kumpeleka mama yangu mzazi cliniki ya dialysis Bugado wakati natoa kausafiri kwenye chasis number alikuwa anapita tukasalimiana na kumwambia tunaelekea Hospital akasema sawa na hongera nyingi za kunua kausafiri kapya.
Imefika saa nne nipo hospitali naona Msg tena
akiniandikia ujumbe unasomeka hivi"
Leo ni mwisho wa mwezi na jana haukuwepo ibadani Tuma sasa hivi FUNGU LAKO LA KUMI UTUME NA HELA YA KUTOLEA KANISA LINA MADENI MENGI ""
Nikausoma nikatulia nakuvuta pumzi nikamtumia msg KUWA KWA SASA SINA PESA, FEDHA NINAYOBAKIA NAYO NI KWA AJILI YA MATUMIZI MUHIMU YA FAMILIA NAJUA PIA ZAKA UMUHIMU WAKE, nikikaa sawa nitatoa wala haina shida na hapo ndio nilikuwa najiandaa kulipia matibu ya mama kila mwezi natakiwa kulipia Milion 3 .8 kwa ajili ya dialsis ,mwez huu mambo yameyumba kabisa .
Akajibu tena wewe unabadili tu magari kwa habari ya zaka hutaki kutoa nikamwambia kwani zaka ni lazima lini sijatoa zaka zaidi ya mwezi huu nimepata msiba, na unanihusu kwa sehemu kubwa sina fedha na ninauguliwa wewe mwenyewe shahidi hali ya mzazi wangu Muda wote gari inapaswa kuwa na mafuta, muda wowote hali inabadilika tukawa tumeachana hivyo
Sasa hebu mnisaidie huu utaratibu unatoka wapi kwanini sadaka na zaka ni lazima au ni vile mtu anavyoguswa kulingana na Vile anavyopata! Maana Mungu anasema nijaribu sasa huku Naona mchungaji anatumia command utadhani kanipa yeye kisa anamadeni.
Hebu nipeni njia itakayoniondoa kanisa mikwaruzo na Mchungaji
Hata akihama mkuu, zaka ni Kila mahali Tena haitakiwi ukumbushwe!fata masharti ya ilo kanisa kama uwezi hama.

Acha upotoshaji!Hahahahaha
Njia ni moja tu
Hama Kanisa
Mchungaji amekugeuza wewe sehemu yake ya mapato kwa hio jiongeze zaka na sadaka sio kitu cha lazima maana kutoa ni moyo
Ss usitoe fungu la kumi lkn usishangae kuona mambo yanakuwa magumu zaidi!Kwani kumunua gari Tatizo mkuu gari niliipia toka mwezi sita ,mwez kuna mambo ya kifamilia yamenibana hivyo sitoi fungu la kumi sitaki kutoa kinafiki
Kwanza pole ila kutaka ushauri Kwa watu ambao hawajaokoka sidhani kama ni sahihi biblia inasema mambo ya rohoni yanatambulika Kwa jinsi ya rohoni Wala mtu wa mwlilini hayatambui turudi kwenye mada ktk Malaki 3;8-10 neno linasema lete sio hiyari zaka sio utoaji hiyo ni Kodi ya Mungu tena ansema iwe kamili Kwa maswali zaidi tuwasiliane 0714134004
Bwana KANYEGELO mchungaji wako huyu hapaKwanza pole ila kutaka ushauri Kwa watu ambao hawajaokoka sidhani kama ni sahihi biblia inasema mambo ya rohoni yanatambulika Kwa jinsi ya rohoni Wala mtu wa mwlilini hayatambui turudi kwenye mada ktk Malaki 3;8-10 neno linasema lete sio hiyari zaka sio utoaji hiyo ni Kodi ya Mungu tena ansema iwe kamili Kwa maswali zaidi tuwasiliane 0714134004
Huyu mch ni wa hovyo!Dah yan Mchungaji anaitaka hela yako kwa nguvu[emoji23][emoji23].
Sent using Jamii Forums mobile app
Agano la kale likuwa kivuli Cha agano jipya....Huo ni utumwa wa hadharani.
Nguruwe amekatazwa agano la kale lakini analiwa tu huku tukisema ni old testament commit.
Zaka iliagizwa kwenye agano la kale lakini mnalazimishwa mpaka sasa na hamshituki kuwa ni maagizo yaliyopitwa na wakati.
Umeongea ukweli japo mchungu kwa wasojitambuaAchana na mambo ya dini ni mambo ya kitapeli. Mungu hayupo.
Fungu la kumi sio hiari nduguMakanisa ya watu binafsi sanasana kuna hiyo michezo ya kufuatiliana japo huyo amezidi..sadaka hailazimishwi .. mtu anapaswa ahiari kutoa toka moyoni mwake.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app