Sa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 5,214
- 10,276
😂😂🤣🤣Achana na mambo ya dini ni mambo ya kitapeli. Mungu hayupo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂🤣🤣Achana na mambo ya dini ni mambo ya kitapeli. Mungu hayupo.
Kasali mahala pengineWakuu habarini
Mimi ni muumini wa kanisa la mahali pamoja ambalo ni T.A.G(X)
Jana nimepokea ujumbe wa kunikwaza kunifedhehesha na kunifanya nione kama natwaga maji kwenye kitu
Jana mchungaji kanitumia msg akiniuliza mbona sijahudhuria jana kanisani? Au na mpango wa kuhama kanisa !!
Nami 'nikamjibu kwa kumpigia simu nikamwambia mbona nilikuandikia msg kuwa nadharula sitahudhuria ibadani hukuupata ujumbe na nilimtumia pia na mzee nikakata simu nikascreen short msg nikamtumia whatsap
Akanijibu kuwa dharula zipo ila kama ni siku ya ibaada utume sadaka na michango , ni muhimu sana nikaa kimya
Leo Asubuhi nimeamka asubuhi nikiwa na ratiba ya kutoka kumpeleka mama yangu mzazi cliniki ya dialysis Bugado wakati natoa kausafiri kwenye chasis number alikuwa anapita tukasalimiana na kumwambia tunaelekea Hospital akasema sawa na hongera nyingi za kunua kausafiri kapya.
Imefika saa nne nipo hospitali naona Msg tena
akiniandikia ujumbe unasomeka hivi"
Leo ni mwisho wa mwezi na jana haukuwepo ibadani Tuma sasa hivi FUNGU LAKO LA KUMI UTUME NA HELA YA KUTOLEA KANISA LINA MADENI MENGI ""
Nikausoma nikatulia nakuvuta pumzi nikamtumia msg KUWA KWA SASA SINA PESA, FEDHA NINAYOBAKIA NAYO NI KWA AJILI YA MATUMIZI MUHIMU YA FAMILIA NAJUA PIA ZAKA UMUHIMU WAKE, nikikaa sawa nitatoa wala haina shida
Akajibu tena wewe unabadili tu magari kwa habari ya zaka hutaki kutoa nikamwambia kwani zaka ni lazima lini sijatoa zaka zaidi ya mwezi huu nimepata msiba, na unanihusu kwa sehemu kubwa sina fedha na ninauguliwa wewe mwenyewe shahidi hali ya mzazi wangu Muda wote gari inapaswa kuwa na mafuta, muda wowote hali inabadilika tukawa tumeachana hivyo
Sasa hebu mnisaidie huu utaratibu unatoka wapi kwanini sadaka na zaka ni lazima au ni vile mtu anavyoguswa kulingana na Vile anavyopata! Maana Mungu anasema nijaribu sasa huku Naona mchungaji anatumia command utadhani kanipa yeye kisa anamadeni.
Hebu nipeni njia itakayoniondoa kanisa mikwaruzo na Mchungaji
Hiki kirusi kimeingia makanisa karibu yote. Huo ndio utakuwa mwanzo wa kuanguka kwa ukristoWakuu habarini

Zaidi asome neno kwa makini.... Mtafute sana Mungu ,wachungaji wamegeuza waumini ATM zao. Ukilijua neno, na ukamtafuta Mungu kwa bidii atakupa maelekezo ya sadaka zako na fedha zako kuliko kuwasikiliza Hawa watoto wa mama Hawa(Eva).Tatizo ni wewe kucheka cheka na hao wachungaji, wewe amini Mungu wako, nenda kanisani kama kawaida na sadaka unayotoa ibakie kuwa ni siri yako na Mungu, kamwe mtu asijue umetoa kiasi gani na umeitolea wapi (sio lazima utoe hapo kanisani kwako, unaweza kutoa sadaka popote).
Mwisho kabisa kaa kimya, usimjibu chochote huyo pastor wako. Akiendelea kukufuata fuata kuhusu pesa zako, mwambie kwa heshima aachane kabisa kufuatilia pesa zako.
Sawa hata hivyo kitanzi Cha michango kimehamishiwa jumuiya ndogondogo.... La msingi ni NENO LA MUNGU na msaada wa ROHO MTAKATIFU ambae ni mshauri na mwalimu mwema atakayekufikisha kwenye KWELI.Hamia Kanisa Takatifu Katoliki la Mitume uje ufaidi mema yote ya huu ulimwengu! Huku kwetu hakuna mambo ya kufuatana! Paroko yuko zake busy huko Parokiani!
Uende Kanisani, usiende! Hakuna anayejali! Umetoa zaka, hujatoa! Hakuna atakaye kusumbua! Watu wanamwagilia moyo kwa kipimo! Maana hata Mapadre wenyewe wanamwagilia sana tu!
Hakika ukiwa muumini wa RC migogoro utaisikia kwa majirani tu!
Kristu....!
Tumsifu Yesu Kristu.....!!
Kanisa la Kisinodiii....!
Wameshatufanya chanzo cha mapatoZaidi asome neno kwa makini.... Mtafute sana Mungu ,wachungaji wamegeuza waumini ATM zao. Ukilijua neno, na ukamtafuta Mungu kwa bidii atakupa maelekezo ya sadaka zako na fedha zako kuliko kuwasikiliza Hawa watoto wa mama Hawa(Eva).
Ni kwamba hawafuati mafundisho ya Muhammad kikamilifu , alikuwa huwezi muona mpaka utangulize chochote kituJamani zindukeni basi
UISLAMU ndio dini ya kweli jamani
ivi kila imamu angekua anadai iyo 10% kwa waumini wake si wangekua washatajirika zamani sanaaa
ila mkiambiwa kuhusu Uislamu mnakataa
hya sasa endeleeni kuliwa pesa zenu na wajanja wa mjini
AM PROUD TO BE MUSLIM
2Kor. 9:6-8:1Wakorintho 9:13-14 "
Hamjui ya kuwa wale wazifanyao kazi za hekaluni hula katika vitu vya hekalu na wale waihudumio madhababu huwa na fungu lao katika madhahabu? na Bwana vivyo hivyo ameamuru kwaba wale waihubiriyo injili wapate ridhiki kwa hiyo
//
Mal 3:10-12 SUV
Leteni zaka kamili ghalani, ili kiwemo chakula katika nyumba yangu, mkanijaribu kwa njia hiyo, asema BWANA wa majeshi; mjue kama sitawafungulia madirisha ya mbinguni, na kuwamwagieni baraka, hata isiwepo nafasi ya kutosha, au la. Nami kwa ajili yenu nitamkemea yeye alaye, wala hataharibu mazao ya ardhi yenu; wala mzabibu wenu hautapukutisha matunda yake kabla ya wakati wake katika mashamba, asema BWANA wa majeshi. Na mataifa yote watawaiteni heri; maana mtakuwa nchi ya kupendeza sana, asema BWANA wa majeshi.
//
Mungu akubarikini nyote!
Mchungaji wako ana njaa kinoma by the way mimi nasali tag huu ni mwaka wa 5 sitoi hicho mnachoita zaka maana haina faida na pia zaka sio sadaka ya agano jipyaWakuu habarini
Mimi ni muumini wa kanisa la mahali pamoja ambalo ni T.A.G(X)
Jana nimepokea ujumbe wa kunikwaza kunifedhehesha na kunifanya nione kama natwaga maji kwenye kitu
Jana mchungaji kanitumia msg akiniuliza mbona sijahudhuria jana kanisani? Au na mpango wa kuhama kanisa !!
Nami 'nikamjibu kwa kumpigia simu nikamwambia mbona nilikuandikia msg kuwa nadharula sitahudhuria ibadani hukuupata ujumbe na nilimtumia pia na mzee nikakata simu nikascreen short msg nikamtumia whatsap
Akanijibu kuwa dharula zipo ila kama ni siku ya ibaada utume sadaka na michango , ni muhimu sana nikaa kimya
Leo Asubuhi nimeamka asubuhi nikiwa na ratiba ya kutoka kumpeleka mama yangu mzazi cliniki ya dialysis Bugado wakati natoa kausafiri kwenye chasis number alikuwa anapita tukasalimiana na kumwambia tunaelekea Hospital akasema sawa na hongera nyingi za kunua kausafiri kapya.
Imefika saa nne nipo hospitali naona Msg tena
akiniandikia ujumbe unasomeka hivi"
Leo ni mwisho wa mwezi na jana haukuwepo ibadani Tuma sasa hivi FUNGU LAKO LA KUMI UTUME NA HELA YA KUTOLEA KANISA LINA MADENI MENGI ""
Nikausoma nikatulia nakuvuta pumzi nikamtumia msg KUWA KWA SASA SINA PESA, FEDHA NINAYOBAKIA NAYO NI KWA AJILI YA MATUMIZI MUHIMU YA FAMILIA NAJUA PIA ZAKA UMUHIMU WAKE, nikikaa sawa nitatoa wala haina shida
Akajibu tena wewe unabadili tu magari kwa habari ya zaka hutaki kutoa nikamwambia kwani zaka ni lazima lini sijatoa zaka zaidi ya mwezi huu nimepata msiba, na unanihusu kwa sehemu kubwa sina fedha na ninauguliwa wewe mwenyewe shahidi hali ya mzazi wangu Muda wote gari inapaswa kuwa na mafuta, muda wowote hali inabadilika tukawa tumeachana hivyo
Sasa hebu mnisaidie huu utaratibu unatoka wapi kwanini sadaka na zaka ni lazima au ni vile mtu anavyoguswa kulingana na Vile anavyopata! Maana Mungu anasema nijaribu sasa huku Naona mchungaji anatumia command utadhani kanipa yeye kisa anamadeni.
Hebu nipeni njia itakayoniondoa kanisa mikwaruzo na Mchungaji
Wana beba yanayowapendezesha, yanayowanyima Raha wanasema Ni ya kale.Huo ni utumwa wa hadharani.
Nguruwe amekatazwa agano la kale lakini analiwa tu huku tukisema ni old testament commit.
Zaka iliagizwa kwenye agano la kale lakini mnalazimishwa mpaka sasa na hamshituki kuwa ni maagizo yaliyopitwa na wakati.