Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu habarini
Mimi ni muumini wa kanisa la mahali pamoja ambalo ni T.A.G(X)
Jana nimepokea ujumbe wa kunikwaza kunifedhehesha na kunifanya nione kama natwaga maji kwenye kitu
Jana mchungaji kanitumia msg akiniuliza mbona sijahudhuria jana kanisani? Au na mpango wa kuhama kanisa !!
Nami 'nikamjibu kwa kumpigia simu nikamwambia mbona nilikuandikia msg kuwa nadharula sitahudhuria ibadani hukuupata ujumbe na nilimtumia pia na mzee nikakata simu nikascreen short msg nikamtumia whatsap
Akanijibu kuwa dharula zipo ila kama ni siku ya ibaada utume sadaka na michango , ni muhimu sana nikaa kimya
Leo Asubuhi nimeamka asubuhi nikiwa na ratiba ya kutoka kumpeleka mama yangu mzazi cliniki ya dialysis Bugado wakati natoa kausafiri kwenye chasis number alikuwa anapita tukasalimiana na kumwambia tunaelekea Hospital akasema sawa na hongera nyingi za kunua kausafiri kapya.
Imefika saa nne nipo hospitali naona Msg tena
akiniandikia ujumbe unasomeka hivi"
Leo ni mwisho wa mwezi na jana haukuwepo ibadani Tuma sasa hivi FUNGU LAKO LA KUMI UTUME NA HELA YA KUTOLEA KANISA LINA MADENI MENGI ""
Nikausoma nikatulia nakuvuta pumzi nikamtumia msg KUWA KWA SASA SINA PESA, FEDHA NINAYOBAKIA NAYO NI KWA AJILI YA MATUMIZI MUHIMU YA FAMILIA NAJUA PIA ZAKA UMUHIMU WAKE, nikikaa sawa nitatoa wala haina shida
Akajibu tena wewe unabadili tu magari kwa habari ya zaka hutaki kutoa nikamwambia kwani zaka ni lazima lini sijatoa zaka zaidi ya mwezi huu nimepata msiba, na unanihusu kwa sehemu kubwa sina fedha na ninauguliwa wewe mwenyewe shahidi hali ya mzazi wangu Muda wote gari inapaswa kuwa na mafuta, muda wowote hali inabadilika tukawa tumeachana hivyo
Sasa hebu mnisaidie huu utaratibu unatoka wapi kwanini sadaka na zaka ni lazima au ni vile mtu anavyoguswa kulingana na Vile anavyopata! Maana Mungu anasema nijaribu sasa huku Naona mchungaji anatumia command utadhani kanipa yeye kisa anamadeni.
Hebu nipeni njia itakayoniondoa kanisa mikwaruzo na Mchungaji
Asante sana broPole sana KANYEGELO hiyo ni shida
Dini au dhehemu ni kama chama kinachotusaidia kumsikia Mungu ili sio kwamba ukiwa humo ndio umefika kwa Mungu. Katika kukwazika kwako usimwache Mungu, ila mtafute kwa bidii zaidi
Sadaka zote na zaka ni za muhimu kwa amri ya Mungu. Changamoto ninayoiona hapa ni mchungaji wako kufanya hasira na wewe sababu ya matoleo. Sijawahi ona kiongozi wa madhabahuni kuidai zaka kwa style hiyo[emoji2][emoji2][emoji2] ila wacha tusiendelee kumuongelea
Pole pia kwa kuuguza
Hakuna utaratibu wa hivyo nimekuwa kwenye wokovu huu mwaka wa 18 sasa ,ndio na gaona haya mambo kwa sasaAiseee hatari Sana, huyo mchungaji hakuona umuhimu wa kufanya huduma ya maombezi Kwa mama Yako ila fungu la kumi? Na kuanzia Lini sadaka inadaiwa?? Au ndio utaratibu wa dhehebu lenu??
Basi mtumie ujumbe umwambie nimehama mashart yamekushimda Yesu utamtafuta mahali pengineHakuna utaratibu wa hivyo nimekuwa kwenye wokovu huu mwaka wa 18 sasa ,ndio na gaona haya mambo kwa sasa
Upo parokia gani mbona Roman nako kumechangamka kwa michango siku hizi?Hivi huyo mchungaji anajua garama za dialysis Bugado? Anajua kwa wiki mnatakiwa kumpeleka mama mara ngapi?
Kuna watu wanajua kukera. Hapo alitaka hela ya kula.mwaya njoo romani, sisi tuna michango ila hatulazimishi, hutoona padre akikutumia sms ya hivyo.
Mbona kwenye hiyo sms hajauliza hali ya mgonjwa? Au anataka kukutishia usipotoa zaka mungu atamchukua mama? Aisee huyo mtummishi kanikera nimewaza ningekuwa mimi ningemjibu vip dah.
Watu wa Mungu wengi wana angamia kwa kukosa maarifa. Wanawake ndio wahanga wa hili jinamizi. Mungu hatolewi kwa amri. Mungu anatolewa kwa kuguswa umtolee ajabu makanisa ya leo wachungaji wanashindana na waumini. Tatizo ndio linapo anzia. Umejenga nyumba nzuri unaulizwa why unanyumba nzuri kuliko mch ndio hao akina wachungaji wamakanisa fulani wanasema kwa dakika mbili wamepata mil 300m hujiulizi. Kanisa limeingiliwa...Wakuu habarini
Mimi ni muumini wa kanisa la mahali pamoja ambalo ni T.A.G(X)
Jana nimepokea ujumbe wa kunikwaza kunifedhehesha na kunifanya nione kama natwaga maji kwenye kitu
Jana mchungaji kanitumia msg akiniuliza mbona sijahudhuria jana kanisani? Au na mpango wa kuhama kanisa !!
Nami 'nikamjibu kwa kumpigia simu nikamwambia mbona nilikuandikia msg kuwa nadharula sitahudhuria ibadani hukuupata ujumbe na nilimtumia pia na mzee nikakata simu nikascreen short msg nikamtumia whatsap
Akanijibu kuwa dharula zipo ila kama ni siku ya ibaada utume sadaka na michango , ni muhimu sana nikaa kimya
Leo Asubuhi nimeamka asubuhi nikiwa na ratiba ya kutoka kumpeleka mama yangu mzazi cliniki ya dialysis Bugado wakati natoa kausafiri kwenye chasis number alikuwa anapita tukasalimiana na kumwambia tunaelekea Hospital akasema sawa na hongera nyingi za kunua kausafiri kapya.
Imefika saa nne nipo hospitali naona Msg tena
akiniandikia ujumbe unasomeka hivi"
Leo ni mwisho wa mwezi na jana haukuwepo ibadani Tuma sasa hivi FUNGU LAKO LA KUMI UTUME NA HELA YA KUTOLEA KANISA LINA MADENI MENGI ""
Nikausoma nikatulia nakuvuta pumzi nikamtumia msg KUWA KWA SASA SINA PESA, FEDHA NINAYOBAKIA NAYO NI KWA AJILI YA MATUMIZI MUHIMU YA FAMILIA NAJUA PIA ZAKA UMUHIMU WAKE, nikikaa sawa nitatoa wala haina shida
Akajibu tena wewe unabadili tu magari kwa habari ya zaka hutaki kutoa nikamwambia kwani zaka ni lazima lini sijatoa zaka zaidi ya mwezi huu nimepata msiba, na unanihusu kwa sehemu kubwa sina fedha na ninauguliwa wewe mwenyewe shahidi hali ya mzazi wangu Muda wote gari inapaswa kuwa na mafuta, muda wowote hali inabadilika tukawa tumeachana hivyo
Sasa hebu mnisaidie huu utaratibu unatoka wapi kwanini sadaka na zaka ni lazima au ni vile mtu anavyoguswa kulingana na Vile anavyopata! Maana Mungu anasema nijaribu sasa huku Naona mchungaji anatumia command utadhani kanipa yeye kisa anamadeni.
Hebu nipeni njia itakayoniondoa kanisa mikwaruzo na Mchungaji
Fungu la kumi unatakiwa ujipe wewe mwenyewe na sio kutoa kokote.Wakuu habarini

Kumbe umewazoesha haoKwani kumunua gari Tatizo mkuu gari niliipia toka mwezi sita ,mwez kuna mambo ya kifamilia yamenibana hivyo sitoi fungu la kumi sitaki kutoa kinafiki
Ata kama umeniandika jf bado nakukumbushia leo ni mwisho wa mwezi tuma fungu la kumi hakikisha leo haipiti maana leo usiku nitakuwa na maombi ya kuombea wote waliotoa fungu la kumi ili mungu apate kuwabariki..amen!Wakuu habarini
Mimi ni muumini wa kanisa la mahali pamoja ambalo ni T.A.G(X)
Jana nimepokea ujumbe wa kunikwaza kunifedhehesha na kunifanya nione kama natwaga maji kwenye kitu
Jana mchungaji kanitumia msg akiniuliza mbona sijahudhuria jana kanisani? Au na mpango wa kuhama kanisa !!
Nami 'nikamjibu kwa kumpigia simu nikamwambia mbona nilikuandikia msg kuwa nadharula sitahudhuria ibadani hukuupata ujumbe na nilimtumia pia na mzee nikakata simu nikascreen short msg nikamtumia whatsap
Akanijibu kuwa dharula zipo ila kama ni siku ya ibaada utume sadaka na michango , ni muhimu sana nikaa kimya
Leo Asubuhi nimeamka asubuhi nikiwa na ratiba ya kutoka kumpeleka mama yangu mzazi cliniki ya dialysis Bugado wakati natoa kausafiri kwenye chasis number alikuwa anapita tukasalimiana na kumwambia tunaelekea Hospital akasema sawa na hongera nyingi za kunua kausafiri kapya.
Imefika saa nne nipo hospitali naona Msg tena
akiniandikia ujumbe unasomeka hivi"
Leo ni mwisho wa mwezi na jana haukuwepo ibadani Tuma sasa hivi FUNGU LAKO LA KUMI UTUME NA HELA YA KUTOLEA KANISA LINA MADENI MENGI ""
Nikausoma nikatulia nakuvuta pumzi nikamtumia msg KUWA KWA SASA SINA PESA, FEDHA NINAYOBAKIA NAYO NI KWA AJILI YA MATUMIZI MUHIMU YA FAMILIA NAJUA PIA ZAKA UMUHIMU WAKE, nikikaa sawa nitatoa wala haina shida
Akajibu tena wewe unabadili tu magari kwa habari ya zaka hutaki kutoa nikamwambia kwani zaka ni lazima lini sijatoa zaka zaidi ya mwezi huu nimepata msiba, na unanihusu kwa sehemu kubwa sina fedha na ninauguliwa wewe mwenyewe shahidi hali ya mzazi wangu Muda wote gari inapaswa kuwa na mafuta, muda wowote hali inabadilika tukawa tumeachana hivyo
Sasa hebu mnisaidie huu utaratibu unatoka wapi kwanini sadaka na zaka ni lazima au ni vile mtu anavyoguswa kulingana na Vile anavyopata! Maana Mungu anasema nijaribu sasa huku Naona mchungaji anatumia command utadhani kanipa yeye kisa anamadeni.
Hebu nipeni njia itakayoniondoa kanisa mikwaruzo na Mchungaji
kama mimi yaani mimi hata mchungaji naweza kumbless lakini sio kwa kulazimishwaMimi huwa natoa zaka/fungu la kumi kwa pale roho yangu inanituma. Napeleka kanisani, watoto wa tima, wajane, wasiojiweza, wafungwa, vituo vya kulelea watoto wenye utindio wa ubongo n.k. So sina formula wala hakuna wa kuniingilia pa kupeleka.