Eliud Bunju
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 356
- 666
Huwa naumia Sana nikiona watu wanasema hakuna mungu
Historia ya Maisha yangu ni ya huzuni Sana
wazazi walifariki na kubaki yatima Mimi na ndugu zangu wawili
Lakini hofu ya mungu ndio imetulinda mpaka Mimi na Kaka kuwa na KAZI nzuri serikalini dada yetu akusoma bali ndie alietusaidia kutulea. Alizalishwa na wanaume wawili tofauti lakini Neema ya mungu amempa mume sasaihivi mwaka wa 8 huu.
Fungu la kumi ni lazima kutoa lakini hutakiwi kulazimishwa Vivo hivyo unapaswa kukumbushwa.
Mpendwa Mtoa mada funga angalau mara mbili Kwa kila wiki kabla hujafungua jioni ingià chumbani jifungie Anza kuomba ongea na mungu Kwa Saa moja utaona vtu vitavyofanyika Bila kutegemea