Wachungaji mnaosema tukiwapa sadaka tutabarikiwa kuwa wateja wa kwenye ma Mall, mnajiona mko sawa?

Wachungaji mnaosema tukiwapa sadaka tutabarikiwa kuwa wateja wa kwenye ma Mall, mnajiona mko sawa?

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Mchungaji anasema toa upate baraka, utanyeshewa baraka za kukuinua, hutakua mtu wa magengeni tena, hutakua mtu wa kununua mitumba tena utanunua nguo kwenye ma shoping mall na mahitaji yako yatatoka supermarket.

Hizi hela tulizonazo tungeamua kuwa watu wa manunuzi ya supermarket na shopping malls tusingebaki na hela ya kuwapa nyinyi. Vitu nya magengeni ni fresh zaidi kuliko vya supermarket.

Muwe mnafikiria kabla ya kutoa kakuli zenu. Wenye magenge pia wana familia za kulisha na watoto wa kusomesha.
 
Hao wachungaji wengi ni wapigaji, ebu chukulia watu kama Kina Gwajima wanacheza hadi porno, angalia mwingira anazaa hadi na wake za watu, angalia Lusekelo anapiga hadi NYAGI na kutukana majirani, Mwamposa anawauzia watu maji kwa bei ya juu yaani ulanguzi na wizi, sasa wachungaji matapeli kama hao ndio wataongea mambo ya maana?
 
Hao wachungaji wengi ni wapigaji ,ebu chukulia watu kama Kina Gwajima wanacheza hadi porno, angalia mwingira anazaa hadi na wake za watu, angalia Lusekelo anapiga hadi NYAGI na kutukana majirani ,mwamposa anawauzia watu maji kwa bei ya juu yaani ulanguzi na wizi ,sasa wachungaji matapeli kama hao ndio wataongea mambo ya maana?
Mchungaji anasema mimi nimebarikiwa nimeacha kupanda daladala sasa hivi nina Mercedes Benz wakati sisi tunaokupa sadaka zetu tulipanda daladala ili tufike kanisani.
 
Mchungaji anasema mimi nimebarikiwa nimeacha kupanda dala dala sasa hivi nina Mercedes Benz wakati sisi tunaokupa sadaka zetu tulipanda dala dala ili tufike kanisani.

Acha tu ila baadhi ya kina mama, dada, mabinti ndi wateja wakubwa wa manabii fekero! Mchungaji akitaka gari anaomba michango kutoka kwa kondoo ila kondoo akitaka gari anaombewa na mchungaji fekero.
 
Ujinga unaonishangaza mimi ni pale mchungaji anapitisha bakuli kwa waumini ili akununue gari lake ila wakati anapokea hela waumini anawaambia FUMBENI macho ili mbafikiwe mpate kununua gari.
 
ujinga unaonishangaza mimi ni pale mchungaji anapitisha bakuli kwa waumini ili akununue gari lake ila wakati anapokea hela waumini anawaambia FUMBENI.macho.ili mbafikiwe mpate kununua gari。
Kuna kujilipua unatoa pesa yote uliyonayo na unamuamini Mungu kukufikisha nyumbani. Wakitoka kanisani wanaomba walipiwe nauli kwenye daladala.
 
Acha tu ila baadhi ya kina mama,dada,mabinti ndi wateja wakubwa wa manabii fekero!! Mchungaji akitaka gari anaomba michango kutoka kwa kondoo ila kondoo akitaka gari anaombewa na mchungaji fekero.
Kwa hiyo mlitaka watuambie maisha yetu yatabaki pale2, siyo?
 
Mchungaji anasema mimi nimebarikiwa nimeacha kupanda dala dala sasa hivi nina Mercedes Benz wakati sisi tunaokupa sadaka zetu tulipanda dala dala ili tufike kanisani.
Haaa haaa nimecheka kama mazuri, halafu unakuta mke anajikwatua huyo balaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama ni msomaji mzuri wa Biblia utaona kwamba Walawi walikuwa hawafanyi kazi nyingine yeyote ile isipokuwa ya kumtumikia Mungu madhabahuni na walikuwa na sehemu yao maalum ya sadaka kwakuwa walikuwa hawazalishi.

Hivyo si ajabu kwa Mchungaji sasa kukumbushia haki yake ya Kibiblia kwani kazi yake ni madhabahuni pa Bwana.

Sasa unataka Mchungaji akafungue hoteli kubwa halafu muanze kusema kuwa anazungusha sadaka??

Acheni ukaidi toeni mbarikiwe.

Naam kama unauza genge toa Mungu atakubariki utafungua supermarket.
 
Haaa haaa nimecheka kama mazuri, halafu unakuta mke anajikwatua huyo balaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna siku tulikua kanisani, unajua mahibiri ya walokole ni mpaka mchungaji achoke kuongea. Imefika saa saba mahubiri yanaendelea na mke wa mchungaji anakunywa Coca-Cola kupoza koo.
 
Kama ni msomaji mzuri wa Biblia utaona kwamba Walawi walikuwa hawafanyi kazi nyingine yeyote ile isipokuwa ya kumtumikia Mungu madhabahuni na walikuwa na sehemu yao maalum ya sadaka kwakuwa walikuwa hawazalishi.

Hivyo si ajabu kwa Mchungaji sasa kukumbushia haki yake ya Kibiblia kwani kazi yake ni madhabahuni pa Bwana.

Sasa unataka Mchungaji akafungue hoteli kubwa halafu muanze kusema kuwa anazungusha sadaka??

Acheni ukaidi toeni mbarikiwe.

Naam kama unauza genge toa Mungu atakubariki utafungua supermarket.
Sawa mchungaji Tito
 
Ila sadaka ni lazima jamani hata Bible inasema usiende au asionekane nyumbani mwa BWANA mikono mitupu, kuombea watu nao kazi wapendwa, Mchungaji anasimama saa 1-9 anaongea tu kweli? Sasa Mchungaji afungue genge sasa Mimi ulweso nikitaka kumuona niende pale gengeni?
 
Back
Top Bottom