Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kaitwa baba Mchungaji kuchunga kondoo hivyo mke anafuata nyuma nyuma asipojielewa ndiyo hivyo anafanya vituko tuKuna siku tulikua kanisani, unajua mahibiri ya walokole ni mpaka mchingaji achoke kuongea. Imefika saa saba mahubiri yanaendelea na mke wa mchungaji anakunywa Coca-Cola kupoza koo.