Mchungaji anasema mimi nimebarikiwa nimeacha kupanda daladala sasa hivi nina Mercedes Benz wakati sisi tunaokupa sadaka zetu tulipanda daladala ili tufike kanisani.Hao wachungaji wengi ni wapigaji ,ebu chukulia watu kama Kina Gwajima wanacheza hadi porno, angalia mwingira anazaa hadi na wake za watu, angalia Lusekelo anapiga hadi NYAGI na kutukana majirani ,mwamposa anawauzia watu maji kwa bei ya juu yaani ulanguzi na wizi ,sasa wachungaji matapeli kama hao ndio wataongea mambo ya maana?
Mchungaji anasema mimi nimebarikiwa nimeacha kupanda dala dala sasa hivi nina Mercedes Benz wakati sisi tunaokupa sadaka zetu tulipanda dala dala ili tufike kanisani.
Kumbe wewe BMW huipendi!? Basi endelea kupanda daladala & bajaji sisi tunaotaka Benz ngoja tubarikiweMchungaji anasema mimi nimebarikiwa nimeacha kupanda dala dala sasa hivi nina Mercedes Benz wakati sisi tunaokupa sadaka zetu tulipanda dala dala ili tufike kanisani.
Kuna kujilipua unatoa pesa yote uliyonayo na unamuamini Mungu kukufikisha nyumbani. Wakitoka kanisani wanaomba walipiwe nauli kwenye daladala.ujinga unaonishangaza mimi ni pale mchungaji anapitisha bakuli kwa waumini ili akununue gari lake ila wakati anapokea hela waumini anawaambia FUMBENI.macho.ili mbafikiwe mpate kununua gariγ
Kwa hiyo mlitaka watuambie maisha yetu yatabaki pale2, siyo?Acha tu ila baadhi ya kina mama,dada,mabinti ndi wateja wakubwa wa manabii fekero!! Mchungaji akitaka gari anaomba michango kutoka kwa kondoo ila kondoo akitaka gari anaombewa na mchungaji fekero.
Haaa haaa nimecheka kama mazuri, halafu unakuta mke anajikwatua huyo balaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mchungaji anasema mimi nimebarikiwa nimeacha kupanda dala dala sasa hivi nina Mercedes Benz wakati sisi tunaokupa sadaka zetu tulipanda dala dala ili tufike kanisani.
Usione wanajazana vile wana shida zinazowapeleka huko!Acha tu ila baadhi ya kina mama,dada,mabinti ndi wateja wakubwa wa manabii fekero!! Mchungaji akitaka gari anaomba michango kutoka kwa kondoo ila kondoo akitaka gari anaombewa na mchungaji fekero.
Kuna siku tulikua kanisani, unajua mahibiri ya walokole ni mpaka mchungaji achoke kuongea. Imefika saa saba mahubiri yanaendelea na mke wa mchungaji anakunywa Coca-Cola kupoza koo.Haaa haaa nimecheka kama mazuri, halafu unakuta mke anajikwatua huyo balaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa mchungaji TitoKama ni msomaji mzuri wa Biblia utaona kwamba Walawi walikuwa hawafanyi kazi nyingine yeyote ile isipokuwa ya kumtumikia Mungu madhabahuni na walikuwa na sehemu yao maalum ya sadaka kwakuwa walikuwa hawazalishi.
Hivyo si ajabu kwa Mchungaji sasa kukumbushia haki yake ya Kibiblia kwani kazi yake ni madhabahuni pa Bwana.
Sasa unataka Mchungaji akafungue hoteli kubwa halafu muanze kusema kuwa anazungusha sadaka??
Acheni ukaidi toeni mbarikiwe.
Naam kama unauza genge toa Mungu atakubariki utafungua supermarket.
Tatizo wanatushauri tumchangie mungu hela HUKU mungu hatumii hela kwenye shughuli zakeKuna kujilipua unatoa pesa yote uliyonayo na unamuamini Mungu kukufikisha nyumbani. Wakitoka kanisani wanaomba walipiwe nauli kwenye daladala.