Wachungaji mnaosema tukiwapa sadaka tutabarikiwa kuwa wateja wa kwenye ma Mall, mnajiona mko sawa?

Taarifa za nini unataka kuhakiki nini?Kwani hiyo biashara udai Kodi. Kutoa Mapepo ndiyo taarifa muhimu kuliko zote katika Imani maana Mapepo ndiyo yanyoharibu dira y amwandamu

Yaani mpaka ukutwe na mapepo ujue ushamuacha Mungu na njia zake zamani sana
 
Huduma ya kiroho siku hizi inauzwa mkuu? Jitafakari, usitetee kila jambo as if huna akili hata moja... moyoni mwako unaujua ukweli hulazimishwi kukubali hapa. Ubarikiwe unapoyatafakari hayo
Wanapohudumiwa kiroho, nao wanahudumia kimwili.
 
Taarifa za nini unataka kuhakiki nini?Kwani hiyo biashara udai Kodi. Kutoa Mapepo ndiyo taarifa muhimu kuliko zote katika Imani maana Mapepo ndiyo yanyoharibu dira y amwandamu

saint Anna mama mchungaji njoo huku
 

I concur
 
Wachawi mnaangaika Sana .kuropoka Yaani unataka kufundishwa nini ?.Yaani Watu wanatoa semina za Ndoa,Wanafundisha kulea familia,Wanafundisha jinsi ya kuwa mjasiliamali,Wanafundisha jinsi ya kujihami na nguvu za Giza ,Bado anakufundisha Kushirikiana na jamii bado wanajenga mpaka shule Bora mpaka zinaongoza kitaifa .
Kama hiyo siyo Imani yako kaa kimya Acha kukashifu Imani za Watu .
 


Tumeshaanza kuwastukia!

Sasa hivi mtakusanya sadaka kwa mbinde sana!

Ujinga huwa wakati wa kwenda kurudi werevu!
 
Your God is not in control at all

1. Mungu wenye upendo usipimika ameruhusu watu wafe kwa njaa na magonjwa wakati anasolution zote. Eti watu wenye uroho na resources ndo wamefanya watu wafee na njaaa.....what a poor argument....ni nani anasababisha ukame? Mafuriko, eti watu wenye chuki....kasome biblia uone jinsi mungu wako alivyokuwa analeta njaa na mabalaa mengine.


2. Mungu wako hayuko in control ndo maana alishindwa kuumba dunia isiyokuwa na matetemeko.....na majanga mengine ya asili. Tuelezes lile tetemeko lilopiga haiti na kuuwa watu karibu lak 3.....ni nani alisabbisba hayo au ni watu wenye roho mbaya?


3. Mungu wako hayuko in control at all ndio maana alishindwa kulinda kitabu chake cha biblia ....badala yake binadamu wamekitia maneno yao na editions za kutoshaaaa. Kimsingi haina mashiko sana.


4. Mungu wako hayuko in control ndo maana alijileta dunian aje aadhibiwe na binadamu aliowaumba ili awakomboe...what a god.

5. Mungu wako hayuko in control at all ndio maana leo mwanadamu amefikia ujuzi wa juu sana wa kibaologia kiasi kwamba anaweza kuchagua mtoto atakayezaliwa awe na sifa gani.


Bottom line ni kwamba, imani bila facts ni useless. Ndio maana watu maskini na waliokata tamaa ndo wamejazana makanisan kutolewa mapepo.....! Mapepo yanaonekana kuwaogopa akina MO akina bkaresa ....na watu wengi wenye ukwasi....!


Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
 
Siku yakikuta ndiyo utaelewa kuwa ni wezi .

It’s easy to be judgmental when you think you’re perfect or better than someone else. It’s impossible to look down on others when you remember where God brought you from.

Many of us walked away from God at some point. Many of us decided to do our own thing instead of obeying His word at some point. We can’t write someone off when they make a mistake because Jesus never did that to us.

Let’s learn to extend the same grace to others that God has extended to us.

“Some of you were once like that. But you were cleansed; you were made holy; you were made right with God by calling on the name of the Lord Jesus Christ and by the Spirit of our God.” 1 Corinthians 6:11
 
Maneno yakisemwa au yakiandikwa kwa kiingereza yanaonekana ni ya maana na ya ukweli zaidi.

But fact remain!
 
Halafu watu makofi pwapwa na vigelegele kama vyote illa hizi ni nyakati za mwisho manake siku hizi wanahubiri sana utoaji wa Fedha kuliko kutoa Injili Takatifu huko kwenye jumuiya ndio balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…