Wachungaji mnaosema tukiwapa sadaka tutabarikiwa kuwa wateja wa kwenye ma Mall, mnajiona mko sawa?

Kuna siku tulikua kanisani, unajua mahibiri ya walokole ni mpaka mchingaji achoke kuongea. Imefika saa saba mahubiri yanaendelea na mke wa mchungaji anakunywa Coca-Cola kupoza koo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kaitwa baba Mchungaji kuchunga kondoo hivyo mke anafuata nyuma nyuma asipojielewa ndiyo hivyo anafanya vituko tu
 
Mchungaji halazimishi watu kutoa, tena ukitoka noti ya 10,000 Mchungaji anatabasamu. Anatakiwacaridhike na anachokipata.
 
Mchungaji halazimishi watu kutoa, tena ukitoka moto ya 10,000 Mchungaji anatabasamu. Anatakiwacaridhike na anachokipata.
Yuko sahihi kabisa kuchekelea sadaka kwa noti ya elfu 10 kwani hata Mungu amekua akiwatakabali wanaotoa sadaka nzuri madhabahuni pake , mfano wa kaini na Abel.

Katika kitabu cha Nehemia 8:10 tunaambiwa tule vilivyo vinono na kunywa vilivyo vitamu.

Mungu wetu hajawahi kuwa Mungu wa vinyonge hata siku moja na tena anasema katika neno lake tukapeleke zaka zilizo kamili ghalani mwake.

Mtumishi nakuusia ukapeleke vilivyo kamili kamili mbele ya Bwana.

Mungu alitoa sadaka, Yesu.

Abraham akatoa Isack.

Wewe ni nani usitoe.

Enyi uzao wa Nyoka acheni Ukaidi.
 
Yule masikini aliyetoa centi mbili Yesu alisema alitoa kuliko wote. Unatoa ulicho nacho na kiheshimiwe. Usiheshimu waliotoa vikubwa.
 
Yule masikini aliyetoa centi mbili Yesu alisema alitoa kuliko wote. Unatoa ulicho nacho na kiheshimiwe. Usiheshimu waliotoa vikubwa.
Ndicho alichokuwa nacho, wale matàjiri walitoa cha ziada
 
Reactions: Pep
Yule masikini aliyetoa centi mbili Yesu alisema alitoa kuliko wote. Unatoa ulicho nacho na kiheshimiwe. Usiheshimu waliotoa vikubwa.
Huyo maskini alitoa kikubwa kwani alitoa me kile alichokuwa nacho hakua na cha ziada ile sadaka ndio ilikuwa kila kitu kwake wengine walitoa vya ziada ila yeye pekee.

Mchungaji anao wajibu wa kuwakumbusha waumini kufanya yaliyo sahihi, kama kutoa sadaka zilizokamilika.

Mungu pia anawaheshimu wanaotoa anawakumbuka na kuwabariki.

Usiache kutoa ndugu.
 
Wakatoliki hawalazimishani sadaka, ni Walibi wako kutoa sadaka na fungi la kumi lakini hawaitwi waliotoa watoke mbele.
 
Wakatoliki hawalazimishani sadaka, ni Walibi wako kutoa sadaka na fungi la kumi lakini hawaitwi waliotoa watoke mbele.
Hata wao wanahimiza sana siku hizi hakuna misaada kwa Padri mnamtunza mwenyewe kwa kila kitu, je huko kwenye jumuiya acha kukabana koo hatari!
 
Tanzania ninamfahamu mchungaji mmoja
@ Mosses Magembe


Sikiliza hadi mwisho
 
Kwani Masheikh wanaishije? tusijustify wizi...sadaka atoe mtu kama anacho tu...siyo kulaghai waumini...na kuwatisha kwa vifungu vya bible,huu ni utapeli.
 
Kama wao kweli ni watumishi wa Mungu...Mungu awape hizo hela siyo sisi...huu ni wizi kama wizi mwingine tu.

Mtu baada aombe Mungu ampe pesa ili afanye kazi yake,anachukua pesa yako halafu anakuombea kwa Mungu akupatie pesa maradufu,nonsense.
 
Mchungaji halazimishi watu kutoa, tena ukitoka moto ya 10,000 Mchungaji anatabasamu. Anatakiwacaridhike na anachokipata.
@Sky Eclat ,,,
Leo mwandiko wako mbaya! Sijui tatizo ni nini!
 
Tatizo ni kutumia sadaka kutoka kwa watu masikini kwenye mambo ya kifahari kama kumiliki magari mengi ya kifahari , na aina mbalimbali za anasa wakati angeweza kuwa na gari moja au mawili na likatosha ktk kazi zake za uchungangaji. Hela nyingine zingetumika kusaidia jamii kama kufungua hospitals, vituo Vya kulelea yatima nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…