na ndio hii kitu ilinifanya niachane na makanisa eti mchungaji achangiwe hela ya gari wakati mm kula yangu ni mtafutano..Mchungaji anasema mimi nimebarikiwa nimeacha kupanda dala dala sasa hivi nina Mercedes Benz wakati sisi tunaokupa sadaka zetu tulipanda dala dala ili tufike kanisani.
Mungu alitoa sadaka kwa nani?Yuko sahihi kabisa kuchekelea sadaka kwa noti ya elfu 10 kwani hata Mungu amekua akiwatakabali wanaotoa sadaka nzuri madhabahuni pake , mfano wa kaini na Abel.
Katika kitabu cha Nehemia 8:10 tunaambiwa tule vilivyo vinono na kunywa vilivyo vitamu.
Mungu wetu hajawahi kuwa Mungu wa vinyonge hata siku moja na tena anasema katika neno lake tukapeleke zaka zilizo kamili ghalani mwake.
Mtumishi nakuusia ukapeleke vilivyo kamili kamili mbele ya Bwana.
Mungu alitoa sadaka, Yesu.
Abraham akatoa Isack.
Wewe ni nani usitoe.
Enyi uzao wa Nyoka acheni Ukaidi.
Kwa hiyo mlitaka watuambie maisha yetu yatabaki pale2, siyo!???
Usione wanajazana vile wana shida zinazowapeleka huko!
Ila sadaka ni lazima jamani hata Bible inasema usiende au asionekane nyumbani mwa BWANA mikono mitupu, kuombea watu nao kazi wapendwa, Mchungaji anasimama saa 1-9 anaongea tu kweli? Sasa Mchungaji afungue genge sasa Mimi ulweso nikitaka kumuona niende pale gengeni?
Mkuu umenena; hawa wanaosali ktk vioski vya hawa jamaa ndio wanaotakiwa 'kukutanishwa' na Ma-Dr bingwa wa mirembe au pale Muhimbili kwani inaonekana vichwa vyao havipo sawa!Hao wachungaji wengi ni wapigaji, ebu chukulia watu kama Kina Gwajima wanacheza hadi porno, angalia mwingira anazaa hadi na wake za watu, angalia Lusekelo anapiga hadi NYAGI na kutukana majirani, Mwamposa anawauzia watu maji kwa bei ya juu yaani ulanguzi na wizi, sasa wachungaji matapeli kama hao ndio wataongea mambo ya maana?
Acha wapigwe tu mkuu kwani wajinga kamwe hawatakaa waishe hadi siku ya kiama!Kwahiyo Shida zao ndio Mwingira(Mla wake za watu) ,Gwajima(Mcheza pono),Lusekelo (Mlevi wa Konyagi) ,Mwamposa(Tapeli ) ndio watazitatua?
Yes. Lengo la dini ni utajiri wa kiroho na mfukoni piaKwani lengo la dini ni kuhubiri utajiri wa kidunia(Ya kaisari -ceaser) au ufalme wa Mungu?
Kovidi-19 haijawahi kumwacha mtu salama. Sema tu ulikuwa unatafuta sababu. Kwa hiyo umesikia waliochanga wamekuwa maskini kuliko wewe!???na ndio hii kitu ilinifanya niachane na makanisa eti mchungaji achangiwe hela ya gari wakati mm kula yangu ni mtafutano..
Usisahau mimi na wewe ndio part ya kanisa; kanisa siyo mali ya watumishiKama wao kweli ni watumishi wa Mungu...Mungu awape hizo hela siyo sisi...huu ni wizi kama wizi mwingine tu.
Mtu baada aombe Mungu ampe pesa ili afanye kazi yake,anachukua pesa yako halafu anakuombea kwa Mungu akupatie pesa maradufu,nonsense.
Mimi na wewe ni part ya kanisa sawa...tushirikiane kuondoa huu usanii kwenye kanisa kama tunaamini haupo purposely.Usisahau mimi na wewe ndio part ya kanisa; kanisa siyo mali ya watumishi
ni non logic kumwambia muumini akuchangie pesa ya kununulia gari wakati wewe huyohuyo unajinasibu kumuombea aondokane na umasikini ...stupid..!Kovidi-19 haijawahi kumwacha mtu salama. Sema tu ulikuwa unatafuta sababu. Kwa hiyo umesikia waliochanga wamekuwa maskini kuliko wewe!???
Hahah mmenye umekomaa na hiyo mistari...!Kwahiyo Shida zao ndio Mwingira(Mla wake za watu) ,Gwajima(Mcheza pono),Lusekelo (Mlevi wa Konyagi) ,Mwamposa(Tapeli ) ndio watazitatua?
🤣🤣🤣🤣 wakati huo waumini koo zao zimekauka hawana uwezo wa kandoro ya 100.Kuna siku tulikua kanisani, unajua mahibiri ya walokole ni mpaka mchungaji achoke kuongea. Imefika saa saba mahubiri yanaendelea na mke wa mchungaji anakunywa Coca-Cola kupoza koo.
Inawezekana hujui,mafanikio uliyonayo wewe yanatokana na wazazi wako kutoa na kushinda nyumbani mwa Bwana kukuombea.jamani wazee wastaafu..ndio dili wanapewa mpaka uzee wa kainisa hapo....si unajua shetani akizeeka anakuwa malaika..wamewafilisi baba na mama yangu...dhuuuuu...kwa kuwa ni masuala ya imani unawaacha wapambane nayo wenyewe na hela ni zao..toa ubarikiwe..weeee...ubarikiwe nini zaidi mstaafu uongezewe pension au mifugo yenyewe unafuga passion usikae bure ila sio ki biashara...yaani akipata ibada mara tatu kwa wiki ni vichekesho tukienda kumtembelea maza siku tatu anashinda huko kanisani na cheo wamempa...full kumchuna
Ukifuatilia kwa makini wafuasi wa shetani na wasio wacha Mungu wengi ndio wenye good time duniani.Mtu aliyebarikiwa anakusanya pesa za wasio na baraka.