Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Imeandikwa:Hao wachungaji wengi ni wapigaji, ebu chukulia watu kama Kina Gwajima wanacheza hadi porno, angalia mwingira anazaa hadi na wake za watu, angalia Lusekelo anapiga hadi NYAGI na kutukana majirani, Mwamposa anawauzia watu maji kwa bei ya juu yaani ulanguzi na wizi, sasa wachungaji matapeli kama hao ndio wataongea mambo ya maana?
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa