Beesmom
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 17,202
- 28,732
DadaFunguaa kaka
Mana bila hivyo wataendelea kuhukumu watu buree
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DadaFunguaa kaka
Mana bila hivyo wataendelea kuhukumu watu buree
Mkuu, pia unaweza ukashangaa walimu wa primary wapo humo na wanashangilia jinsi mwenzao anavyodhalilishwa.Hii haikubakili. Amechana kama mwalimu wa primary??! huyu ni motivational speaker au punguani
na ndio maana Kagame alifungia makanisa na taasisi zingine za kidini ambazo mtoa huduma hana degree ya theolojia, mtu tu kajua kusoma biblia au Quran anaanzisha kanisa au madrasa hii sio sawaIfike mahali wachungaji na manabii hawa waingie darasani kusoma angalau psychology na general studies Basi...
Wanakosa skills za kawaida kabisa ukiacha kumdhalilisha mwalimu Kwanza kumdhalilisha huyo muumini wake mbele ya kanisa lake... Naimani huyo muumini hatorudi tena kanisani.
Haya sitaki kuamini Kama humo kanisani kwake hakuna waumini ambao ni walimu hawa sijui walijiskiaje na wanajiskiaje aisee ni Kama aliropoka bila kufikiri alilenga kuwachekesha waumini bila kuchagua neno na mwisho kajikuta anawadhalilisha wengine...
Kabisa Mkuu,Na wajinga wengi sana wanaliwa
Ifike mahali wachungaji na manabii hawa waingie darasani kusoma angalau psychology na general studies Basi...
Wanakosa skills za kawaida kabisa ukiacha kumdhalilisha mwalimu Kwanza kumdhalilisha huyo muumini wake mbele ya kanisa lake... Naimani huyo muumini hatorudi tena kanisani.
Haya sitaki kuamini Kama humo kanisani kwake hakuna waumini ambao ni walimu hawa sijui walijiskiaje na wanajiskiaje aisee ni Kama aliropoka bila kufikiri alilenga kuwachekesha waumini bila kuchagua neno na mwisho kajikuta anawadhalilisha wengine...
Kagame alipifunga hivi vikanisa vya kitapeli watu walilalamika,kumbe aliomba mbali