Wachungaji na Maaskofu waiache CHADEMA ijipambanue kama chama cha siasa

Kwa mwaka huu 2024 imekuwa vigumu kujua kama CHADEMA ni chama cha siasa chenye nia ya kuhudumia Watanzania wote au ni Taasisi ndani ya taasisi ya dini katika madhehebu tofauti.

Miaka ya nyuma kulikuwa na minong'ono tu kuwa hiki ni chama kinadhaminiwa na Mlengo wa Kikristo.

Maneno hayo nilikuwa nayapinga mara kwa mara lakini leo hii, nashawishika kabisa kuwa maneno hayo yalikuwa na ukweli. Kwasababu kila tamko la CHADEMA linabaraka 100% ya maaskaofu na wachungaji na kila tamko au barua za kichungaji zote zina baraka ya CHADEMA kwa asilimia 100, Kulikoni?

ChADEMA ijikague, vinginevyo itapata kundi moja tu na kamwe huwezi kushika nchi kwa kundi moja tu. Bado mna nafasi.

Pia soma: Siasa na dini

..unakumbuka lile BOMU lililorushwa ktk mkutano wa Chadema Arusha ktk utawala wa Kikwete?

..juzi ktk kongamano la utekaji Afande Jumanne Muliro alisema lilikuwa ni shambulizi la MAGAIDI walioamini Chadema ni chama cha Wakristo.

..Hizi kampeni za UDINI dhidi ya vyama vya upinzani zina madhara mabaya kwa jamii yetu.

..CCM inaweza kushinda uchaguzi bila kufanya kampeni chafu na za kibaguzi kama hiki unachofanya.
 
Kitima atalia sana, coz ametegesha mrija wake wa kula ruzuku, halafu pia Lissu ni ndugu yake wa damu, amejiapiza kwamba lazima Rais atoke katika ukoo wao
 
Kwa mwaka huu 2024 imekuwa vigumu kujua kama CHADEMA ni chama cha siasa chenye nia ya kuhudumia Watanzania wote au ni Taasisi ndani ya taasisi ya dini katika madhehebu tofauti.

Miaka ya nyuma kulikuwa na minong'ono tu kuwa hiki ni chama kinadhaminiwa na Mlengo wa Kikristo.

Maneno hayo nilikuwa nayapinga mara kwa mara lakini leo hii, nashawishika kabisa kuwa maneno hayo yalikuwa na ukweli. Kwasababu kila tamko la CHADEMA linabaraka 100% ya maaskaofu na wachungaji na kila tamko au barua za kichungaji zote zina baraka ya CHADEMA kwa asilimia 100, Kulikoni?

ChADEMA ijikague, vinginevyo itapata kundi moja tu na kamwe huwezi kushika nchi kwa kundi moja tu. Bado mna nafasi.

Pia soma: Siasa na dini
Mashekhe , Maimamu, Baraza la Ulamaa, BAKWATA na SHURA YA MAIMAMU wafanye vivo hivyo kwa CCM na SAA 💯
 
Hii nchi kila Mtu macho ni CHADEMA utadhani ndio chama Tawala. Wakati Sheikh Mussa Salum anahudhuria mkutano wa CCM ulichekelea, ila kwa CHADEMA unakuja mbio. Punguza unafiki
Waambia akina KITIMA ndio waache unafiki uliopitiliza aisee
 
Kwa mwaka huu 2024 imekuwa vigumu kujua kama CHADEMA ni chama cha siasa chenye nia ya kuhudumia Watanzania wote au ni Taasisi ndani ya taasisi ya dini katika madhehebu tofauti.

Miaka ya nyuma kulikuwa na minong'ono tu kuwa hiki ni chama kinadhaminiwa na Mlengo wa Kikristo.

Maneno hayo nilikuwa nayapinga mara kwa mara lakini leo hii, nashawishika kabisa kuwa maneno hayo yalikuwa na ukweli. Kwasababu kila tamko la CHADEMA linabaraka 100% ya maaskaofu na wachungaji na kila tamko au barua za kichungaji zote zina baraka ya CHADEMA kwa asilimia 100, Kulikoni?

ChADEMA ijikague, vinginevyo itapata kundi moja tu na kamwe huwezi kushika nchi kwa kundi moja tu. Bado mna nafasi.

Pia soma: Siasa na dini
Chadema wana Mungu CCM mna bunduki na mabomu.
 
Aliyekutuma kwenye hili ni nani?

Huyaoni ya chama tawala mmeona
chadema tu? Kuwa na kiasi kha!

Huwa mnalipwa kiasi gani mpaka mjitoe ufahamu?

Punguzeni kujipendekeza ni full udwazi
 
Kwa mwaka huu 2024 imekuwa vigumu kujua kama CHADEMA ni chama cha siasa chenye nia ya kuhudumia Watanzania wote au ni Taasisi ndani ya taasisi ya dini katika madhehebu tofauti.

Miaka ya nyuma kulikuwa na minong'ono tu kuwa hiki ni chama kinadhaminiwa na Mlengo wa Kikristo.

Maneno hayo nilikuwa nayapinga mara kwa mara lakini leo hii, nashawishika kabisa kuwa maneno hayo yalikuwa na ukweli. Kwasababu kila tamko la CHADEMA linabaraka 100% ya maaskaofu na wachungaji na kila tamko au barua za kichungaji zote zina baraka ya CHADEMA kwa asilimia 100, Kulikoni?

ChADEMA ijikague, vinginevyo itapata kundi moja tu na kamwe huwezi kushika nchi kwa kundi moja tu. Bado mna nafasi.

Pia soma: Siasa na dini
Unayasema haya baada ya chama chako cuf kufa mkuu nakujua vizuri au niweke picha yako hapa.
 
Duh 🙄!
Ukiona hivyo ujue kuwa Watu wema wamechoka kutawaliwa na watu waovu.
Tunatawaliwa na mashetani yasiyoshiba hata kwa kula nyama za watu.

Majitu yalejilimbikizia mali kila sehemu na hayana huruma kamwe . Majitu tunayalipa mishahara mikubwa na pensioni kubwa maisha yao yote lakini yanaiba kura ,yanabadili matokeo ya uchaguzi , yanauza rasilimali za umma.

Mashetani maovu yanakimbilia kujenga mahospitali majengo ya mabilioni ya pesa kwa sababu tu katika ujenzi ndipo wizi mkubwa wa pesa unapotokea .
Unajengaje Hospitali ya Bil.40 halafu hakuna madaktari .?
Hospitali zilizopo Tatizo sioajengo kwa sababu wafu wanahitaji madaktari zaidi. Hawaajiri.

Na hata CCM kwa muda mrefu sana imekua ikiwapumbaza waumini kwa rushwa na matokeo yake taasisi za dini zinaonekana kama zinabariki Ufisadi na mafisadi.

Na awamu hii tunataka mawakala wawe ni mashehe na Wachungaji na maaskofu na maustadhi wale walioshika dini ya haki kule ACT na Chadema ili wasikubali kununuliwa na waone uovu ya Watawala wahuni .

Lakini sio hivyo tu hata wagombea wote kwa sasa wanatakiwa kuwa ni watu wenye hofu ya Mungu.

Kuongozwa na watu wasiojali kuwa kuna kesho ahera ni sawa na kuongozwa na wanyama.
Tumechoka kuongozwa na wanayama.
Tunataka kuongozwa na binadamu sio watu wasioguswa hata na uhai wa watu. Watu wasiojali uhai wa binadamu hawafai kuongoza binadamu .Hao ni wanayama wakaongoze wanyama wenzao kule Loliondo.

Lakini sio taaisisi za dini tu zinaviunga mkono vyama vya ACT na Chadema bali hata Taasisi za kutetea haki za binadamu,wanasheria nguli , wafu huru, watu wenye heshima katika jamii na wasiopenda kuona wanayama na mashetani wakiongoza binadamu.

Hii ni Fursa nzuri sana kwa ACT na Chadema kuungana na kuwatoa madarakani hawa majitu yasiyo na huruma linapokuja suala la madaraka.

Chadema na ACT kaeni chini mjipange wakristo na waislam wapo tayari kuwapigia kura . CCM wamebaki na machifu na wachawi wao .
Ndio maana CCM walisema kuwa wao ushindi sio Mungu anayepanga bali ni lazima .

Sasa kama CCM itashinda aliyeshindwa ni Mungu sio Chadema wala ACT.
Watu wote wenye imani kwa Mungu Muumba wa mbingu na ardhi na ambaye akitaka jambo liwe linakua ,basi tuungane wote tuvichague vyama viwili Chadema na ACT ili kuhakikisha CCM haishindi kwa sababu CCM ikishinda Nchi hii itakua na watu waovu mara mia zaidi ya leo kwa sababu watu wengi wataamini kuwa CCM ni zaidi ya Mungu na ndiyo yenye kuamua hatima na uhai na maisha ya vitu vyote ikiwemo Mvua , Jua na mimea na wanyama.

CCM ikishinda uchaguzi ujao Mungu atadharauliwa sana.

Tunawashukuru sana Wachungaji ,maaskofu na mashekhe kwa sababu wameliona hilo . Kazi ya viongozi wa dini ni kuhakikisha kuwa haki inatamalaki lakini pia Mungu ndiye anayekula mkubwa wa wote na muamuzi na mpangaji wa kila kitu bila kushindwa.

Ndani ya Chadema kuna waislamu wengi sana lakini pia ndani ya ACT kuna wakristo wengi sana. Mbowe na Viongozi wa ACT kaeni muliangalie hili maana ushindi ni wa hivi vyama viwili kushirikiana japo Chadma ina wanachama wengi zaidi lakini haiwezi kushinda peke yake bila kushirikiana na ACT .

CCM kwisha ,kwisha kabisa
,mlalo wa chali ,kifo cha mende.mbendembende.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Zamani wakati Shetani hajajiunga na CCM ,Kimbilio la CCM lilikua ni taasisi za dini sasa wamemuasi Mungu wanategemea machifu , waganga na wachawi kwenye uchaguzi ujao na makanisa ya kina Mungu Zumaridi na yanayofanana nayo.
🙄 😳 !!
 
Chadema wana Mungu CCM mna bunduki na mabomu.

Umesahau waganga ,wachawi na machifu .

Walishasema Mungu hana maamuzi ya ushindi wa CCM kwa sababu hata akitaka au asipotaka CCM ushindi ni lazima .

CCM kimeonyesha dharau kubwa sana kwa Mungu na waumini wote wa dini ya Kiislamu na Kikristo wanaoamini kuwa mamlaka zote zinatoka kwa Mungu.

Nitashangaa Mkristo au Muislam anayeamini kuwa Kuna Mungu aliyeumba vitu vyote na mwenye uwezo wote wa kuamua jambo la
 
Back
Top Bottom