Wachungaji na Maaskofu waiache CHADEMA ijipambanue kama chama cha siasa


..unakumbuka lile BOMU lililorushwa ktk mkutano wa Chadema Arusha ktk utawala wa Kikwete?

..juzi ktk kongamano la utekaji Afande Jumanne Muliro alisema lilikuwa ni shambulizi la MAGAIDI walioamini Chadema ni chama cha Wakristo.

..Hizi kampeni za UDINI dhidi ya vyama vya upinzani zina madhara mabaya kwa jamii yetu.

..CCM inaweza kushinda uchaguzi bila kufanya kampeni chafu na za kibaguzi kama hiki unachofanya.
 
Kitima atalia sana, coz ametegesha mrija wake wa kula ruzuku, halafu pia Lissu ni ndugu yake wa damu, amejiapiza kwamba lazima Rais atoke katika ukoo wao
 
Mashekhe , Maimamu, Baraza la Ulamaa, BAKWATA na SHURA YA MAIMAMU wafanye vivo hivyo kwa CCM na SAA πŸ’―
 
Hii nchi kila Mtu macho ni CHADEMA utadhani ndio chama Tawala. Wakati Sheikh Mussa Salum anahudhuria mkutano wa CCM ulichekelea, ila kwa CHADEMA unakuja mbio. Punguza unafiki
Waambia akina KITIMA ndio waache unafiki uliopitiliza aisee
 
Chadema wana Mungu CCM mna bunduki na mabomu.
 
Aliyekutuma kwenye hili ni nani?

Huyaoni ya chama tawala mmeona
chadema tu? Kuwa na kiasi kha!

Huwa mnalipwa kiasi gani mpaka mjitoe ufahamu?

Punguzeni kujipendekeza ni full udwazi
 
Unayasema haya baada ya chama chako cuf kufa mkuu nakujua vizuri au niweke picha yako hapa.
 
Duh πŸ™„!
πŸ™„ 😳 !!
 
Chadema wana Mungu CCM mna bunduki na mabomu.

Umesahau waganga ,wachawi na machifu .

Walishasema Mungu hana maamuzi ya ushindi wa CCM kwa sababu hata akitaka au asipotaka CCM ushindi ni lazima .

CCM kimeonyesha dharau kubwa sana kwa Mungu na waumini wote wa dini ya Kiislamu na Kikristo wanaoamini kuwa mamlaka zote zinatoka kwa Mungu.

Nitashangaa Mkristo au Muislam anayeamini kuwa Kuna Mungu aliyeumba vitu vyote na mwenye uwezo wote wa kuamua jambo la
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…