Wachungaji wanaohamasisha uzinzi sio Nabii Tito peke yake, na Masanja Mkandamizaji yumo

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Masanja Mkandamizaji anamsisitiza Diamond awape mimba wanawake kutoka nchi zote Africa Mashariki.

Huyu mchungaji chenga sana, anaacha kuhubiri toba na kuacha dhambi yeye anasisitiza Diamond awape mimba haraka huko nchi ambazo Bado Kisha aoe.

Dini imevamiwa

Screenshot_20210602-051344.png
 
Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Masanja Mkandamizaji anamsisitiza Diamond awape mimba wanawake kutoka nchi zote Africa Mashariki.

Huyu mchungaji chenga sana, anaacha kuhubiri toba na kuacha dhambi yeye anasisitiza Diamond awape mimba haraka huko nchi ambazo Bado Kisha aoe.

Dini imevamiwa

View attachment 1805515
Wanangu hawa si wachungaji bali wachunaji. Wako kuanzia mjengoni hadi vyooni.
 
Kanisa lake linaitwa Feel Free Church, haya makanisa ya Free Church yapo mengi sana duniani, sio makanisa ya kiroho, ila no makanisa ya watu kujumuika wasijione wadhambi sana au hawafai.
Makanisa haya hayakemei dhambi, uzinzi poa tu, ushoga nk.
Hebu jaribu ku Google utajifunza mengi sana kuhusu makanisa ya aina hii
 
Kwanza kabisa mafunzo ya uchungaji alichukulia kwa mama Rwakatare au alienda chuo?

Kama ni chuo, Ni kipi hicho?
Ndo maana mimi hata kama sina imani kubwa ntazidi kuwaapreciate wasabato...yaan lazima ukasomee uchungaji...sio kisa unajiona una misuti kibao unajilabel mchungaji...bora waweke sheria kama Rwanda tu vikanisa uchwara vifutiliwe mbali
 
Big up kwa wasabato, Kwanza hawaangukagi mapepo
 
Back
Top Bottom