Wachungaji wanaohamasisha uzinzi sio Nabii Tito peke yake, na Masanja Mkandamizaji yumo

Wachungaji wanaohamasisha uzinzi sio Nabii Tito peke yake, na Masanja Mkandamizaji yumo

Nimecheka sana, nikimfikiria kondoo yule kama Mnyama achungwae ndo wale Waumini ! [emoji23][emoji23][emoji23]
πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸπŸπŸπŸ Sijui wanawaza nini? Au akili imenasa kwenye maombi ya kuombea mvua ya radi ishuke?
 
Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Masanja Mkandamizaji anamsisitiza Diamond awape mimba wanawake kutoka nchi zote Africa Mashariki.

Huyu mchungaji chenga sana, anaacha kuhubiri toba na kuacha dhambi yeye anasisitiza Diamond awape mimba haraka huko nchi ambazo Bado Kisha aoe.

Dini imevamiwa

View attachment 1805515
Naona lipstick Tu hapo

Mondi πŸ’„
 
Duh!!!,Na waumini wake wanamsikiliza vizuri tu!!!.
IMG-20210601-WA0199.jpg
 
dini ya kinjanja iyo, anzisha kanisa, utapiga wajinga wengi sana,
 
Wasabato hawaanguki na mapepo kwa sababu hayajakemewa kwa sababu mwanadamu kama Hana Roho mtakatifu Basi ana Roho mchafu hawezi kuwa tupu (1Samweli 16:14)
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€! Hivi kuna dini inapiga sala kama islam na sabato mkuu
 
Ndio maana wanaitwa kondoo, hawajui walifanyalo
Kwa uhalisia, kondoo, hawachagui "Mchungaji" bali mwenye kondoo ndiye huwachagulia mchungaji kondoo wake.

Sasa kinachofanyika siku hizi kuna "wahuni" wanajichomeka kwenye kazi za Uchungaji wa kondoo pasipo kuchaguliwa na mwenye kondoo. Na Mwenye kondoo ameruhusu huu uhuni ufanyike sababu kondoo walio wengi wanafurahia sana kuchungwa na "wahuni". Soma, 2Wathesalonike 2:9-12
 
Kadri siku zinavyokwenda kunakuwa hakuna tofauti watumishi na sie wahuni
 
Huyo ni comedian pia mkumbuke,mambo mengine msiwe mnachukulia serious,hamtaki hata mtumishi wa Mungu atanie.Mda mwingine hata hatueleweki akivaa uhusika wa mtumishi wa Mungu mnamchukilia comedian na akivaa uhusika wa comedian,mnamchukulia mtumishi wa Mungu.
 
Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Masanja Mkandamizaji anamsisitiza Diamond awape mimba wanawake kutoka nchi zote Africa Mashariki.

Huyu mchungaji chenga sana, anaacha kuhubiri toba na kuacha dhambi yeye anasisitiza Diamond awape mimba haraka huko nchi ambazo Bado Kisha aoe.

Dini imevamiwa

View attachment 1805515
Kwani masanja ni mchungaji? Huyu ni msanii tu!!!!
 
Ndo maana mimi hata kama sina imani kubwa ntazidi kuwaapreciate wasabato...yaan lazima ukasomee uchungaji...sio kisa unajiona una misuti kibao unajilabel mchungaji...bora waweke sheria kama Rwanda tu vikanisa uchwara vifutiliwe mbali
Mpwa hii comment yako imenifurahisha sana.......ubarikiwe kwa kunipa tabasamu na kicheko siku ya leo......eti misuti kibao......


I really appreciate....
 
Si ndio hawa mapadri wanao lawiti watoto wakiume dunia nzima???!!

Sasa kusoma kwao kumewasaidia nini mpaka wanalawiti watoto wadogo wakiume jamani??!!
Kisomo hakiwaondolei ubinadamu na kuuvaa umalaika.......hayo wanayofanya yapo kwenye utashi wao kama wanadamu......na sio mafundisho ya walichosomea huko.....kama ustaadh anapomlawiti mtoto anayemfundisha kumjua Mungu.....hali ya kuwa Quran tukufu inapinga vikali zinaa achilia mbali ulawiti..........
 
Back
Top Bottom