Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Ndio maana wanaitwa kondoo, hawajui walifanyaloHivi hua mnampelekea hela zenu kama mchungaji au mnaenda kanisani kwake mpate nini hasa
Wanangu hawa si wachungaji bali wachunaji. Wako kuanzia mjengoni hadi vyooni.Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Masanja Mkandamizaji anamsisitiza Diamond awape mimba wanawake kutoka nchi zote Africa Mashariki.
Huyu mchungaji chenga sana, anaacha kuhubiri toba na kuacha dhambi yeye anasisitiza Diamond awape mimba haraka huko nchi ambazo Bado Kisha aoe.
Dini imevamiwa
View attachment 1805515
Huyu jamaa nasikia alibeba Sana sembe la KISULISULI, anadanganya wetu eti karudi baba mmoja kavimba yote mapaja na kutetemeka mwili, Kama mnataka Mali mtayapata shambaniWanangu hawa si wachungaji bali wachunaji. Wako kuanzia mjengoni hadi vyooni.
Ndo maana mimi hata kama sina imani kubwa ntazidi kuwaapreciate wasabato...yaan lazima ukasomee uchungaji...sio kisa unajiona una misuti kibao unajilabel mchungaji...bora waweke sheria kama Rwanda tu vikanisa uchwara vifutiliwe mbaliKwanza kabisa mafunzo ya uchungaji alichukulia kwa mama Rwakatare au alienda chuo?
Kama ni chuo, Ni kipi hicho?
Nilimsikia mtoto wa kisulisuli anasema yeye ni bilionea🤧Huyu jamaa nasikia alibeba Sana sembe la KISULISULI, anadanganya wetu eti karudi baba mmoja kavimba yote mapaja na kutetemeka mwili, Kama mnataka Mali mtayapata shambani
Mwakibolwa ndio Nani?Masanja hajawahi kuwa Mchungaji huyo ni mwigizaji tu kama waigizaji wengine,Mzee Mwakiborwa atadaiwa damu ya huyu kijana kwa kutokumwambia ukweli ili abadilike.
Waliachiwa Mali nyingi sana, kondoo wanawapelekea sadaka Kisha kina Humphrey wanaenda kuzinywea bia na kula bata na WANAWAKENilimsikia mtoto wa kisulisuli anasema yeye ni bilionea🤧
Big up kwa wasabato, Kwanza hawaangukagi mapepoNdo maana mimi hata kama sina imani kubwa ntazidi kuwaapreciate wasabato...yaan lazima ukasomee uchungaji...sio kisa unajiona una misuti kibao unajilabel mchungaji...bora waweke sheria kama Rwanda tu vikanisa uchwara vifutiliwe mbali
Mwakiborwa ndio Mchungaji wake na Masanja pale Moto ya Baraka.Mwakibolwa ndio Nani?
Asante kwa ufafanuzi. Huo Moto wa baraka ndio ukoje tena jamani?Mwakiborwa ndio Mchungaji wake na Masanja pale Moto ya Baraka.