GE2025 Wachungaji wanaosema Samia katumwa na Mungu wajifunze toka kwa Gwajima

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,709
Tanzania ina utajiri wa matepeli waitwao wachungaji wakati ni wachunaji. Mfano tapelii Jose Gwajimmy alijisahau. Aliamua kulala kitanda kimoja na mafisi na mafisadi akiwa amejivisha ngozi ya kondoo ili awararue kondoo kwa kisingizio cha kuwachunga.

Alilishwa akanenepa hadi kukufuru. Ule muungu wake ulipoteketezwa akajikuta kweupe tena bila nguo wala ngozi ya kondoo. Baridi ilipomchapa vilivyo si akaanza kulalamika akilia na kusaga meno. Maduka yake ya kuchuuza roho yalifungwa na wale aliokuwa nao kitanda kimoja wakifanya makufuru.

Siku hizi hasikiki wala kuonekana. Ama kweli, usilolijua ni sawa na usiku wa kiza.

Uzwazwa na utapeli vikiunganika, huzaa balaa la kujikomba, kuongopa na kujigonga. Kama nondo mbele ya taa, baada ya Gwajjaimy kunyolewa bila maji, ajabu ya maajabu, wapo wachunaji na wachuuza roho wanaojitokeza kwa mtindo ule ule na mavazi yale yale wakiusifia muungu ule ule wakitaka kujaza matumbo yao yasiyoshiba bila kutumia akili wala nguvu. Sijui kwanini wamekuwa wavivu wa kufikiri na wagumu wa kujifunza. Nyinyi wagalatia wapumbavu, nani aliwaroga hivi?

Inatisha japo inafikirisha.
Nawaza na kufikiri kimya kimya.
 
Manabii wengi wao ni wachumia Tumbo kama walivyo vijana machawa - njaa ni kali na wanajua once mfumo uliopo ukiondoka madarakani na makanisa yao yatayeyuka sababu shida za watanzania watoa sadaka kwa makanisa yao almost 60% zitatatuliwa na Serikali Mpya ya kizalendo.
 
Tapelii Jose Gwajimmy alijisahau. Aliamua kulala kitanda kimoja na mafisi na mafisadi akiwa amejivisha ngozi ya kondoo ili awararue kondoo kwa kisingizio cha kuwachunga.

Alilishwa akanenepa hadi kukufuru. Ule muungu wake ulipoteketezwa akajikuta kweupe tena bila nguo wala ngozi ya kondoo. Baridi ilipomchapa vilivyo si akaanza kulalamika akilia na kusaga meno. Maduka yake ya kuchuuza roho yalifungwa na wale aliokuwa nao kitanda kimoja wakifanya makufuru.

Siku hizi hasikiki wala kuonekana. Ama kweli, usilolijua ni sawa na usiku wa kiza.

Uzwazwa na utapeli vikiunganika, huzaa balaa la kujikomba, kuongopa na kujigonga. Kama nondo mbele ya taa, baada ya Gwajjaimy kunyolewa bila maji, ajabu ya maajabu, wapo wachunaji na wachuuza roho wanaojitokeza kwa mtindo ule ule na mavazi yale yale wakiusifia muungu ule ule wakitaka kujaza matumbo yao yasiyoshiba bila kutumia akili wala nguvu. Sijui kwanini wamekuwa wavivu wa kufikiri na wagumu wa kujifunza. Nyinyi wagalatia wapumbavu, nani aliwaroga hivi?

Inatisha japo inafikirisha.
Nawaza na kufikiri kimya kimya.
Hao sio wachungaji na ******* fulani hivi
 
Kuna mda mwanadamu hata wewe ukijamba kama wewe tunaweza kusema umepitiwa ni makosa ya ufundi ila ukianza kunya ndio tunajua ulikuwa samia
 
Tapelii Jose Gwajimmy alijisahau. Aliamua kulala kitanda kimoja na mafisi na mafisadi akiwa amejivisha ngozi ya kondoo ili awararue kondoo kwa kisingizio cha kuwachunga.

Alilishwa akanenepa hadi kukufuru. Ule muungu wake ulipoteketezwa akajikuta kweupe tena bila nguo wala ngozi ya kondoo. Baridi ilipomchapa vilivyo si akaanza kulalamika akilia na kusaga meno. Maduka yake ya kuchuuza roho yalifungwa na wale aliokuwa nao kitanda kimoja wakifanya makufuru.

Siku hizi hasikiki wala kuonekana. Ama kweli, usilolijua ni sawa na usiku wa kiza.

Uzwazwa na utapeli vikiunganika, huzaa balaa la kujikomba, kuongopa na kujigonga. Kama nondo mbele ya taa, baada ya Gwajjaimy kunyolewa bila maji, ajabu ya maajabu, wapo wachunaji na wachuuza roho wanaojitokeza kwa mtindo ule ule na mavazi yale yale wakiusifia muungu ule ule wakitaka kujaza matumbo yao yasiyoshiba bila kutumia akili wala nguvu. Sijui kwanini wamekuwa wavivu wa kufikiri na wagumu wa kujifunza. Nyinyi wagalatia wapumbavu, nani aliwaroga hivi?

Inatisha japo inafikirisha.
Nawaza na kufikiri kimya kimya.
Pia kwa mwenzao HPP
 
Tanzania ina utajiri wa matepeli waitwao wachungaji wakati ni wachunaji. Mfano tapelii Jose Gwajimmy alijisahau. Aliamua kulala kitanda kimoja na mafisi na mafisadi akiwa amejivisha ngozi ya kondoo ili awararue kondoo kwa kisingizio cha kuwachunga.

Alilishwa akanenepa hadi kukufuru. Ule muungu wake ulipoteketezwa akajikuta kweupe tena bila nguo wala ngozi ya kondoo. Baridi ilipomchapa vilivyo si akaanza kulalamika akilia na kusaga meno. Maduka yake ya kuchuuza roho yalifungwa na wale aliokuwa nao kitanda kimoja wakifanya makufuru.

Siku hizi hasikiki wala kuonekana. Ama kweli, usilolijua ni sawa na usiku wa kiza.

Uzwazwa na utapeli vikiunganika, huzaa balaa la kujikomba, kuongopa na kujigonga. Kama nondo mbele ya taa, baada ya Gwajjaimy kunyolewa bila maji, ajabu ya maajabu, wapo wachunaji na wachuuza roho wanaojitokeza kwa mtindo ule ule na mavazi yale yale wakiusifia muungu ule ule wakitaka kujaza matumbo yao yasiyoshiba bila kutumia akili wala nguvu. Sijui kwanini wamekuwa wavivu wa kufikiri na wagumu wa kujifunza. Nyinyi wagalatia wapumbavu, nani aliwaroga hivi?

Inatisha japo inafikirisha.
Nawaza na kufikiri kimya kimya.

WATAJIBU WAACHE WAJIFANYE KUCHUKUA KINYWA CHA Mungu
 
Back
Top Bottom