Wachungaji wengi wa kileo wanapotosha masomo ya ndoa akiwemo pastor Tony

Ndoa msingi wake ni upendo bila kujali nani ana ajira, ana biashara, ana cheo au hana kitu.
Na jukumu kubwa la mwanaume ni kumpenda mke wake(upendo ndani yake kuna wajibu wa kucare umpendaye). Mwanaume ndiye anapaswa kuleta mahitaji yote muhimu kwenye familia yake kwa kadri ya nguvu na akili zake.
Wajibu wa mke ni kumtii mume wake. Mume akisema kaa nyumbani kwa maslahi ya familia wewe utapaswa kubaki nyumbani, mume akifungua biashara usimamie unapaswa ufanye kama ulivyoamriwa
Mume ni commander in chief wa familia.
Muhubiri wa leo anasema kuwa mume humuheshimu mke mwenye kipato chake ilhali nyie wote ni mashahidi hali ilivyo kwenye hizi ndoa zenye wenza wote wenye vipato vyao. Ndoa zao hazidumu, na zingine zinadumu lakini migogoro haiishi. Wanaume wengi waliooa wanawake wenye vipato vyao tendo la ndoa hupewa kwa kipimo, vyakula hutengewa na house maids n k
Sasa hawa wahubiri wanaoibuka kama uyoga baada ya kukosa Neno litokalo kwa Mungu wameamua kufundisha falsafa za ulimwengu ambazo unaweza kuzipata popote. Kuwasikiliza wahubiri wanahubiri falsafa za ulimwengu ni heri ununue bando ujifundishe jambo lolote upendalo maana hutatoa sadaka, hutalipia Daladala kuwafuata, hutatumia muda mwingi. Maana ukisema uwafuate walipo utatumia siku mzima while ukiwa chumbani kwako lisaa limoja linatosha kujifunza chochote mtandaoni.
Tupo pamoja. Wengi wanaoonekana mapastor wanawarubuni wafuasi wao.
 
Mimi nimesoma chuo kikubwa cha white horse bible college cha USA, na sasa kuna chuo kingine cha nje nasoma.
Hakuna ulazima wa kufungia ndoa madhabahuni. Hata wazazi au walezi tu wanatosha kufungisha ndoa.
Ile kauli ya sasa unaweza kwenda naye ndio ndoa
Sisi wanaume runaweza kufanya hivyo. Wadada wa siku hizi bila kwenda kwa mchungaji haijawa ndoa, na ukimshauri hici itakua vita tu
 
Ndoa msingi wake ni upendo bila kujali nani ana ajira, ana biashara, ana cheo au hana kitu.
Na jukumu kubwa la mwanaume ni kumpenda mke wake(upendo ndani yake kuna wajibu wa kucare umpendaye). Mwanaume ndiye anapaswa kuleta mahitaji yote muhimu kwenye familia yake kwa kadri ya nguvu na akili zake.
Wajibu wa mke ni kumtii mume wake. Mume akisema kaa nyumbani kwa maslahi ya familia wewe utapaswa kubaki nyumbani, mume akifungua biashara usimamie unapaswa ufanye kama ulivyoamriwa
Mume ni commander in chief wa familia.
Muhubiri wa leo anasema kuwa mume humuheshimu mke mwenye kipato chake ilhali nyie wote ni mashahidi hali ilivyo kwenye hizi ndoa zenye wenza wote wenye vipato vyao. Ndoa zao hazidumu, na zingine zinadumu lakini migogoro haiishi. Wanaume wengi waliooa wanawake wenye vipato vyao tendo la ndoa hupewa kwa kipimo, vyakula hutengewa na house maids n k
Sasa hawa wahubiri wanaoibuka kama uyoga baada ya kukosa Neno litokalo kwa Mungu wameamua kufundisha falsafa za ulimwengu ambazo unaweza kuzipata popote. Kuwasikiliza wahubiri wanahubiri falsafa za ulimwengu ni heri ununue bando ujifundishe jambo lolote upendalo maana hutatoa sadaka, hutalipia Daladala kuwafuata, hutatumia muda mwingi. Maana ukisema uwafuate walipo utatumia siku mzima while ukiwa chumbani kwako lisaa limoja linatosha kujifunza chochote mtandaoni.
Hasa wale wanaochanganya na kiingereza
 
Hapa nawe umepotosha au hujui usemalo sawa na huyo Pastor Tony unayemsema.

Nifahamuvyo, ndoa na tendo la ndoa ni muungano (Agano) (Mwanzo 2:24) na tendo hili asili yake ni Rohoni na linatimilizwa katika mwili. Ili agano la kiroho litimie, linahitaji madhabahu hapa ndipo kuna zile madhabahu ya Kimila, kiserikali au kidini. Ili Agano litimie pia linahitaji Kiapo au Ukiri (Wenza wawili wakiri) na lazima agano lifungwe kwa kutamkwa na yule anayewaingiza kwenye agano(Wafungisha ndoa).

Sasa kwanini kanisani? Sababu madhabahu ya kimungu na agano linafungwa au kamilishwa katika Mamlaka ya Jina lenye nguvu na uweza la Yesu Kristo. Agano hilo halitavunjwa na mtu yoyote kiroho kwani kiapo kimefungwa katika Jina lenye uweza na Mamlaka kuliko kitu au nguvu yoyote ila japo kimwili mnaweza kuvunja na ndio maana ndoa za kikristo hazivunjiki.

Hivyo ndoa za kikristo ni lazima zifungwe kanisani.
Ndoa ya kikristo haivunjiki kivip. Neno ambalo ndo mwongozo wetu kwa maana ya bibilia ukitoka nje ya ndoa ndio tiket ya kuvunja ndoa na hakuna HUKUMU juu ya Hilo ila ukitubu akakusamehe Ni vizur zaidi. Kristo sio wa Uzinzi. Inavunjika vizuri tu
 
Hivi mnavosema mwanaume akihudumia familia peke yake, ndoa ndo zina dumu mnaangalia uhalisia wa mitaani kweli?

Wanawake walioolewa wana ajira na biashara kila mahali. Sio kawaida kumkuta ke hana shughuli.

Shida Iko wapi? Au hizo hela zao wanazichezea za wanaume ndo zinatumika....

binti kiziwi hebu nieleweshe hapa wewe si mtu mzima
Jamii yetu ni jamii mfu, ni jamii inayopenda kuhubiri mambo ya uongo au yenye uhalisia mdogo sana, kuna ndoa nyingi tu zimedumu sababu mama na baba ni washirika wa kifedha katika kuhudumia familia.

Naamini kila mtu mzima mwenye familia anatafuta pesa kwaajili ya watu wasiopungua wanne.

Sasa familia maana yake nini ikiwa kuna mwanafamilia anatafuta pesa si kwaajili ya familia.

Ndio maana maendeleo ya nchi na individual ni madogo sana kama it is expected mtu mmoja afanye kazi na kuhudumia familia pekeyake na bado ajenge, anunue assets, etc
 
Ndoa ya kikristo haivunjiki kivip. Neno ambalo ndo mwongozo wetu kwa maana ya bibilia ukitoka nje ya ndoa ndio tiket ya kuvunja ndoa na hakuna HUKUMU juu ya Hilo ila ukitubu akakusamehe Ni vizur zaidi. Kristo sio wa Uzinzi. Inavunjika vizuri tu
Nikitulia vizuri nitalitolea ufafanuzi katika hilo nyanyantole
 
Ndoa msingi wake ni upendo bila kujali nani ana ajira, ana biashara, ana cheo au hana kitu.
Na jukumu kubwa la mwanaume ni kumpenda mke wake(upendo ndani yake kuna wajibu wa kucare umpendaye). Mwanaume ndiye anapaswa kuleta mahitaji yote muhimu kwenye familia yake kwa kadri ya nguvu na akili zake.
Wajibu wa mke ni kumtii mume wake. Mume akisema kaa nyumbani kwa maslahi ya familia wewe utapaswa kubaki nyumbani, mume akifungua biashara usimamie unapaswa ufanye kama ulivyoamriwa
Mume ni commander in chief wa familia.
Muhubiri wa leo anasema kuwa mume humuheshimu mke mwenye kipato chake ilhali nyie wote ni mashahidi hali ilivyo kwenye hizi ndoa zenye wenza wote wenye vipato vyao. Ndoa zao hazidumu, na zingine zinadumu lakini migogoro haiishi. Wanaume wengi waliooa wanawake wenye vipato vyao tendo la ndoa hupewa kwa kipimo, vyakula hutengewa na house maids n k
Sasa hawa wahubiri wanaoibuka kama uyoga baada ya kukosa Neno litokalo kwa Mungu wameamua kufundisha falsafa za ulimwengu ambazo unaweza kuzipata popote. Kuwasikiliza wahubiri wanahubiri falsafa za ulimwengu ni heri ununue bando ujifundishe jambo lolote upendalo maana hutatoa sadaka, hutalipia Daladala kuwafuata, hutatumia muda mwingi. Maana ukisema uwafuate walipo utatumia siku mzima while ukiwa chumbani kwako lisaa limoja linatosha kujifunza chochote mtandaoni.
Ww mwenyew kabla hujamkosoa huyo pastor jikosoe maana una shida kwenye akili Yako na pia hujiamini.

Jiamini kwanza halafu ndo ufanye maamuzi
 
Tatizo mkiambiwa muanze kuonesha mifano ninyi wenyewe kwa kutosomesha binti zenu, ili baadaye waje waolewe wawe wamama wa nyumbani hamtaki, ila mnataka binti za wanaume wenzenu mnaotarajia kuwaoa ndio wawe hivo
Na hili ndilo huwa silielewi kabisaaa🙆🙆🙆
Mabinti zao wako shule tena za magharama. Na vichwani wanawawazia makazi na mabiashara makubwa makubwa. Sijui kwanini hawataki waje kuwa wake wema🙆
 
Na hili ndilo huwa silielewi kabisaaa[emoji134][emoji134][emoji134]
Mabinti zao wako shule tena za magharama. Na vichwani wanawawazia makazi na mabiashara makubwa makubwa. Sijui kwanini hawataki waje kuwa wake wema[emoji134]
Ni kwamba wanajua kuwa wanachofanya hakiko sawa ila basi tu ubinafsi, kingekuwa sawa wangeanza na mabinti zao, wanaume wengi wa kiafrika bado wana mitazamo ya kijima na kimwinyi sana
 
Back
Top Bottom