Wachungaji wengi wa kileo wanapotosha masomo ya ndoa akiwemo pastor Tony

Tupo pamoja. Wengi wanaoonekana mapastor wanawarubuni wafuasi wao.
 
Sisi wanaume runaweza kufanya hivyo. Wadada wa siku hizi bila kwenda kwa mchungaji haijawa ndoa, na ukimshauri hici itakua vita tu
 
Hasa wale wanaochanganya na kiingereza
 
Ndoa ya kikristo haivunjiki kivip. Neno ambalo ndo mwongozo wetu kwa maana ya bibilia ukitoka nje ya ndoa ndio tiket ya kuvunja ndoa na hakuna HUKUMU juu ya Hilo ila ukitubu akakusamehe Ni vizur zaidi. Kristo sio wa Uzinzi. Inavunjika vizuri tu
 
Jamii yetu ni jamii mfu, ni jamii inayopenda kuhubiri mambo ya uongo au yenye uhalisia mdogo sana, kuna ndoa nyingi tu zimedumu sababu mama na baba ni washirika wa kifedha katika kuhudumia familia.

Naamini kila mtu mzima mwenye familia anatafuta pesa kwaajili ya watu wasiopungua wanne.

Sasa familia maana yake nini ikiwa kuna mwanafamilia anatafuta pesa si kwaajili ya familia.

Ndio maana maendeleo ya nchi na individual ni madogo sana kama it is expected mtu mmoja afanye kazi na kuhudumia familia pekeyake na bado ajenge, anunue assets, etc
 
Ndoa ya kikristo haivunjiki kivip. Neno ambalo ndo mwongozo wetu kwa maana ya bibilia ukitoka nje ya ndoa ndio tiket ya kuvunja ndoa na hakuna HUKUMU juu ya Hilo ila ukitubu akakusamehe Ni vizur zaidi. Kristo sio wa Uzinzi. Inavunjika vizuri tu
Nikitulia vizuri nitalitolea ufafanuzi katika hilo nyanyantole
 
Ww mwenyew kabla hujamkosoa huyo pastor jikosoe maana una shida kwenye akili Yako na pia hujiamini.

Jiamini kwanza halafu ndo ufanye maamuzi
 
Tatizo mkiambiwa muanze kuonesha mifano ninyi wenyewe kwa kutosomesha binti zenu, ili baadaye waje waolewe wawe wamama wa nyumbani hamtaki, ila mnataka binti za wanaume wenzenu mnaotarajia kuwaoa ndio wawe hivo
Na hili ndilo huwa silielewi kabisaaa🙆🙆🙆
Mabinti zao wako shule tena za magharama. Na vichwani wanawawazia makazi na mabiashara makubwa makubwa. Sijui kwanini hawataki waje kuwa wake wema🙆
 
Na hili ndilo huwa silielewi kabisaaa[emoji134][emoji134][emoji134]
Mabinti zao wako shule tena za magharama. Na vichwani wanawawazia makazi na mabiashara makubwa makubwa. Sijui kwanini hawataki waje kuwa wake wema[emoji134]
Ni kwamba wanajua kuwa wanachofanya hakiko sawa ila basi tu ubinafsi, kingekuwa sawa wangeanza na mabinti zao, wanaume wengi wa kiafrika bado wana mitazamo ya kijima na kimwinyi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…