Tetesi: Wachunguzi wa ICC tayari wapo Kenya kwaajili uchunguzi

Poker

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2016
Posts
7,349
Reaction score
21,802
Kwa taarifa za kunyapia nyapia tayari icc wametua nchini kenya tayari kwa kuanza uchunguzi wao.

Taifa la denmark kupitia kwa mfalme wake imesema inasimama nyuma ya watanzania na wao ndio waliofungua mashitaka huko ICC.

Pia mwanamfalme huyo anaunga mkono maandamano ya 9/12/2025 akisema tayari amewasilisha bungeni pendekezo la kutuma jeshi la denmark kuja kuwasaidia watanzania watakaondamana siku hiyo.

Lengo lake haswa ni kile alichosema anataka kuwepo kwa Tanzania ya kidemokrasia.
IMG_3458.jpeg
IMG_3459.jpeg
 
Kwa taarifa za kunyapia nyapia tayari icc wametua nchini kenya tayari kwa kuanza uchunguzi wao.

Taifa la denmark kupitia kwa mfalme wake imesema inasimama nyuma ya watanzania na wao ndio waliofungua mashitaka huko ICC.

Pia mwanamfalme huyo anaunga mkono maandamano ya 9/12/2025 akisema tayari amewasilisha bungeni pendekezo la kutuma jeshi la denmark kuja kuwasaidia watanzania watakaondamana siku hiyo.

Lengo lake haswa ni kile alichosema anataka kuwepo kwa Tanzania ya kidemokrasia.View attachment 3502248View attachment 3502249
Muda utaongea
 
Waislamu machawa na mashekh wao nawahurumia sana kwa yanayo kwenda kuwakuta na familia zao ....pamoja na wazanzibar ....ushauri kwa watanganyika waliopo zanzibar jipangeni kuanza kuondoka huko mapema maana kuna kitu kitatokea bara kikubwa sana kuhusu wazanzibar
 
Waislamu machawa na mashekh wao nawahurumia sana kwa yanayo kwenda kuwakuta na familia zao ....pamoja na wazanzibar ....ushauri kwa watanganyika waliopo zanzibar jipangeni kuanza kuondoka huko maoema maana kuna kitu kitatokea bara kikubwa sana kuhusu wazanzibar
Mbona wewe unachuki na waislamu hata kwenye masuala ya taifa yasio hitaji mgawanyiko kwenye dini au kabila......hivi dini ya kiislamu elikufanya nini dude?
 
Mbona wewe unachiki na waislamu hata kwenye masuala ya taifa yasio hitaji mgawanyiko kwenye dini au kabila......hivi dini ya kiislamu elikufanya nini dude?
Chuki zipo za aina mbili ...hata mungu ana chuki na dhambi na shetani nk ...kuna chuki ya haki na chuki isiyo ya haki .....kuhusu waislamu ni ukweli kuwa waislamu ni wapumbavu, haswa wale wanao kwenda misikitini ....tazama hii
 
Attachments

  • Screenshot_20251115-113232_Instagram Lite.jpg
    Screenshot_20251115-113232_Instagram Lite.jpg
    193.5 KB · Views: 26
Kwa taarifa za kunyapia nyapia tayari icc wametua nchini kenya tayari kwa kuanza uchunguzi wao.

Taifa la denmark kupitia kwa mfalme wake imesema inasimama nyuma ya watanzania na wao ndio waliofungua mashitaka huko ICC.

Pia mwanamfalme huyo anaunga mkono maandamano ya 9/12/2025 akisema tayari amewasilisha bungeni pendekezo la kutuma jeshi la denmark kuja kuwasaidia watanzania watakaondamana siku hiyo.

Lengo lake haswa ni kile alichosema anataka kuwepo kwa Tanzania ya kidemokrasia.View attachment 3502248View attachment 3502249
Hizi picha ni O29?
 
Mbona wewe unachuki na waislamu hata kwenye masuala ya taifa yasio hitaji mgawanyiko kwenye dini au kabila......hivi dini ya kiislamu elikufanya nini dude?
kwamba wewe hauna chuki na wakristo? Kwamba unawapenda wakristo, je unapngana na kuran kwmb msiwe na urafk na wayahudi na wakristo? Ni comment gan humu umewahi andka kwa uzuri khs wakristo labda kama wengne humu hawakujui ila mi nakujua vzr sn una chuki mbaya sn kuhusu wakristo, toka lini muislam akampenda mkristo kwa lipi hasa ni heri nikae na mpagan kuliko kukaa na muislam.
 
Kwa taarifa za kunyapia nyapia tayari icc wametua nchini kenya tayari kwa kuanza uchunguzi wao.

Taifa la denmark kupitia kwa mfalme wake imesema inasimama nyuma ya watanzania na wao ndio waliofungua mashitaka huko ICC.

Pia mwanamfalme huyo anaunga mkono maandamano ya 9/12/2025 akisema tayari amewasilisha bungeni pendekezo la kutuma jeshi la denmark kuja kuwasaidia watanzania watakaondamana siku hiyo.

Lengo lake haswa ni kile alichosema anataka kuwepo kwa Tanzania ya kidemokrasia.View attachment 3502248View attachment 3502249
Jamani Samia kaua watu wengi na anastahiki kuwa jela.

Lakini hizi habari za kutunga na kuungaunga hazisaidii kitu.

Kwanza hiyo picha ni ya Gaza.

Pili, mwanamfalme wa Denmark kasema ataleta majeshi ya Denmark kuwalinda Watanzania wapi?
 
Mbona wewe unachuki na waislamu hata kwenye masuala ya taifa yasio hitaji mgawanyiko kwenye dini au kabila......hivi dini ya kiislamu elikufanya nini dude?
Masheik baadhi wanafiki
 
Waislamu machawa na mashekh wao nawahurumia sana kwa yanayo kwenda kuwakuta na familia zao ....pamoja na wazanzibar ....ushauri kwa watanganyika waliopo zanzibar jipangeni kuanza kuondoka huko mapema maana kuna kitu kitatokea bara kikubwa sana kuhusu wazanzibar

Unapoingiza mambo ya udini unakuwa umeharibu kila kitu.

Waislamu kama waumini, wana kosa gani?

Mtu mmoja kujiita shekhe halafu kutetea uovu, ina uhusiano gani na waislam wote?Mwamposa kutetea uovu wa huyu bibi na serikali, kunawafanya wakristo wote kuunga mkono uovu?

Unajua ni waislam wangapi wameuawa na huyu bibi? Anzia na Ali Kibao.
Hivi unajua kuwa ndani ya hao polisi wauaji, kuna wakristo wengi pia?

Kwanza uwepo wa hao mashekhe tapeli wa BAKWATA, waislam wana haki ya kuwalaumu viongoxi wakristo. BAKWATA haikuanzishwa na waislam bali ilianzishwa na serikali ambayo ilikuwa inaongozwa na mkristo.

Ndugu waislam wema, msameheni anayeleta hoja za udini na kuwasemeni kwa sababu ya imani yenu. Binafsi siwezi kuingia kwenye mtego wa hovyo wa kumsema muislam kwa sababu ya dini yake. Mimi ni mkristo mkatoliki lakini mara nyingi nimekaribiana na waislam ambao nina mengi ya kuyakumbuka kwa ubinadamu wao, yaani matendo mema. Shekhe tapeli wa BAKWATA hawezi kunishawishi niwachukie waislam kwa sababu ya kauli zake za hovyo. Ni kweli, kama ilivyo kwa wakristo, wapo pia waislam machawa wa uovu. Mbona hatuwasemi vibaya wakristo kwa sababu kuna mijitu ya ajabu inayoshangilia uovu, jitu kama Mwashambwa, ambalo lina jina la kikristo?
 
Back
Top Bottom