Mashekh uwasikii wanacho fanyaUnapoingiza mambo ya udini unakuwa umeharibu kila kitu.
Waislamu kama waumini, wana kosa gani?
Mtu mmoja kujiita shekhe halafu kutetea uovu, ina uhusiano gani na waislam wote?Mwamposa kutetea uovu wa huyu bibi na serikali, kunawafanya wakristo wote kuunga mkono uovu?
Unajua ni waislam wangapi wameuawa na huyu bibi? Anzia na Ali Kibao.
Hivi unajua kuwa ndani ya hao polisi wauaji, kuna wakristo wengi pia?
Kwanza uwepo wa hao mashekhe tapeli wa BAKWATA, waislam wana haki ya kuwalaumu viongoxi wakristo. BAKWATA haikuanzishwa na waislam bali ilianzishwa na serikali ambayo ilikuwa inaongozwa na mkristo.
Ndugu waislam wema, msameheni anayeleta hoja za udini na kuwasemeni kwa sababu ya imani yenu. Binafsi siwezi kuingia kwenye mtego wa hovyo wa kumsema muislam kwa sababu ya dini yake. Mimi ni mkristo mkatoliki lakini mara nyingi nimekaribiana na waislam ambao nina mengi ya kuyakumbuka kwa ubinadamu wao, yaani matendo mema. Shekhe tapeli wa BAKWATA hawezi kunishawishi niwachukie waislam kwa sababu ya kauli zake za hovyo. Ni kweli, kama ilivyo kwa wakristo, wapo pia waislam machawa wa uovu. Mbona hatuwasemi vibaya wakristo kwa sababu kuna mijitu ya ajabu inayoshangilia uovu, jitu kama Mwashambwa, ambalo lina jina la kikristo?
Kwa hiyo niwe mnafiki na nisiseme ukweli ...UKWELI NI KWAMBA ASILIMIA 90% YA WAISLAMU WANAO KWENDA MISIKITINI NI WAPUMBAVU ...waislamu wenye viji akili ni waislamu majina wasio kwenda misikitini .Unapoingiza mambo ya udini unakuwa umeharibu kila kitu.