Wadada acheni kupandikiza mashepu na lips za bei rahisi, nimemuona mmoja ninayemfahamu hapa Sinza kawa kituko kabisa

Watu wa hivyo hata sio wa kuwaonea huruma. Wanajitakia wenyewe.

Hata hao wanaotumia pesa ndefu kujibadilisha nao wana mionekano ya hovyo mtu kama Lil kim usipoambiwa kama ni yeye huwezi mtambua amekua wa ajabu. Card nae taqo linaning'inia na wakati alikua mzuri sijui huwa wanahangaika kwa ajili gani.
 
Plastic zinaweza kukukubali mwanzo, baadae doctor akichanganyikiws unakua kituko kama body builders wa brazil wanaotumia plastic badala ya gym
 
Msaidie akafanye service
 
Atakuwa Poshyqueen huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…