Wadada acheni kupandikiza mashepu na lips za bei rahisi, nimemuona mmoja ninayemfahamu hapa Sinza kawa kituko kabisa

Wadada acheni kupandikiza mashepu na lips za bei rahisi, nimemuona mmoja ninayemfahamu hapa Sinza kawa kituko kabisa

Huyu binti alikua mzuri, akapotea kama miezi mitatu hivi akarudi na tako kubwa tu na lips pana. Mimi sikuwa na hiyana nikamuita nimchangie gharama alizotumia huko (malegend tutaelewa)

Sasa imepita miezi miwili toka nionane nae, leo nimemuona kaumuka yaan ile kama kavimba vimba hivi. Kawa kama sijui niseme limdoli likubwa wao wanaita bimbo. Anajichekesha lkn anatia huruma na kichefu chefu juu.

Wenzenu kina nicki minaj au card B wanatumia mabilion ya pesa, nyinyi hizo operations za million moja mnaharibiwa miili yenu. Kama hauna hela ya kufanya operation ya maana bora ubaki tu ulivyo
Bila picha huu Uzi ufutwe Hauna mashiko
 
Back
Top Bottom