Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gharama aliyotumia kusuka pamoja na rasta n shs ngap???Habari zenu,
Juzi nilikuwa salon nikijipendezesha nywele zangu na kucha. Aliingia mdada mmoja yuko smart tu, kapendeza kisha akaulizia huduma za kusuka, then akaanzwa kwa kukwanguliwa mba, akaoshwa nywele kisha akachagua nywele ya kusuka na kuanzwa kusukwa.
Akaomba aende msalani so akaonywesha toi akaenda, hapa wengi mtadhania alitokomea but no! no! Alikwenda msalani na kisha kurudi kusukwa kuliendelea ikabakia mikia ya rasta kuwekwa maji ya moto but akasema anaenda msalani mara moja, dakika zikapita mara masaa, kwenda kumwangalia kumbe alishatokea kwa mlango wa nyuma na kusepa.
Mwenye salon kurudi ndani kuangalia kama aliacha chochote akaiona handbag ya rangi nyeupe na nyekundu, pochi yenyewe ilikuwa imechoka kuiangalia ndani hakuna kitu yani peupe ndani, Mwenye salon mbona alichoka.
Yani mtu ukwanguliwe mba, uoshe nywele kisha usukwe halafu ukimbie na pesa ya watu. Haikuishia hapo kumbe alikunywa na juice akisema, “nichukulieni na mimi juice tutakatana kwenye kusukana” Wadada jamani wacheni wizi, watu wanatafuta rizki nyinyi mnakuja mnawakatisha tamaa.
Zote hizi ni tamaa za maisha, mtu unataka kupendeza huna hela unaanza kuwa Jambazi.
Mtaumizwa…
Hio n dsm???Habari zenu,

😆 😆 😆 😆 😆hii story pia imetokea week iliyopita kuna mdada kaenda saloni karembwa rembwa kabla hawajammaliza kumremba akaomba simu ampigie mwenzie aje hapo saloon naye apate huduma ....katoka nje na mamakeup yake katokomea na simu ya watu ..... wanawake siku hizi wezi sana
Ww ni demu wangu mpaka ujue nahangaikia zawadi.?Hivi kumbe bado kuna wanaume mnaohaingika kupata zawadi kwa wapenzi wenu siku ya valentine?big up sana mkuu,
Nae ataenda kukopwa huduma huko na mabaharia.Habari zenu,
Juzi nilikuwa salon nikijipendezesha nywele zangu na kucha. Aliingia mdada mmoja yuko smart tu, kapendeza kisha akaulizia huduma za kusuka, then akaanzwa kwa kukwanguliwa mba, akaoshwa nywele kisha akachagua nywele ya kusuka na kuanzwa kusukwa.
Akaomba aende msalani so akaonywesha toi akaenda, hapa wengi mtadhania alitokomea but no! no! Alikwenda msalani na kisha kurudi kusukwa kuliendelea ikabakia mikia ya rasta kuwekwa maji ya moto but akasema anaenda msalani mara moja, dakika zikapita mara masaa, kwenda kumwangalia kumbe alishatokea kwa mlango wa nyuma na kusepa.
Mwenye salon kurudi ndani kuangalia kama aliacha chochote akaiona handbag ya rangi nyeupe na nyekundu, pochi yenyewe ilikuwa imechoka kuiangalia ndani hakuna kitu yani peupe ndani, Mwenye salon mbona alichoka.
Yani mtu ukwanguliwe mba, uoshe nywele kisha usukwe halafu ukimbie na pesa ya watu. Haikuishia hapo kumbe alikunywa na juice akisema, “nichukulieni na mimi juice tutakatana kwenye kusukana” Wadada jamani wacheni wizi, watu wanatafuta rizki nyinyi mnakuja mnawakatisha tamaa.
Zote hizi ni tamaa za maisha, mtu unataka kupendeza huna hela unaanza kuwa Jambazi.
Mtaumizwa…
Mara paap wakakutana kituo cha dala dalaHabari zenu,

Na pia imeandikwa wapi ni lazima mpaka mwanamme akupe pesa ndio ujikimu kimaisha?kwamba imekuwa sheria ukilala na mtu au kuwa kwenye mahusiano na mtu basi akupe pesa,basi huo utakuwa Umalaya wa kujiuza mwili na hawa wanaume na wao nani awape pesa za kununua jeans?Au wao hawatakiwi kutunzwa?Ndo wachumba zenu hao...muwape helaaa wanawaaibisha....mdada sio umchakate mpe na hela apendeze ukata unawafanya waibe...
Ila ni upuuzi wa kiwango cha lami yani kwanini upendeze kwa wizi unajisikiaje kwa mfano..
Sio poaa, atakuja kulipa kwa njia 1 ama ingineHabari zenu,