Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Nani awatunze hapo ukiamua labda useme zawadi ila sio eti unamtunza..hujasoma maandiko mwanaume atakula kwa jasho? Sasa na nyie wanawake kujifanya mnataka mpambane na wanaume mle kwa jasho lenu ndo mnakua vibaka.....Na pia imeandikwa wapi ni lazima mpaka mwanamme akupe pesa ndio ujikimu kimaisha?kwamba imekuwa sheria ukilala na mtu au kuwa kwenye mahusiano na mtu basi akupe pesa,basi huo utakuwa Umalaya wa kujiuza mwili na hawa wanaume na wao nani awape pesa za kununua jeans?Au wao hawatakiwi kutunzwa?
Any way sijakataa kujitafutia ila kama mwanaume wako anaelewa majukumu yake hilo la kumtunza mpenziwe ni jukumu lake...hapa nazungumzia mchumba anaeeleweka..mke na sio wadangaji...