ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Sina mke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usukumani huku .. Jumuiya ni jumanne na jumatano .. Ijumaaa jumamosi(asubui kuna kuwa na misa za shukrani) pia ni minada na magulio ... Hatusali siku hizo ... By the way mimi sio msukuma ... Ni mkwaya ... Nafanyia kazi tu huku .. Nawajua 11 yrs si habaHii mama anakua nyumbani na jumuia unakwenda saa ngapi?
But I think is not a good ideaHuku kwetu jumuia tunasali Jumamosi kanisani baada ya misa ya asubuhi. Kila jumuia inabook chumba chao.
Tulipitia changamoto nyingi, wengine wanaishi kwenye chumba kimoja na familia hivyo kukaribisha watu kusali nyumbani ni ngumu. Wengine mwenyenyumba amempiga marufuku kume sala zinaharibu network system ya mwenyenyumba.But I think is not a good idea
Kwangu mimi nafikiri tunatakiwa kuzifanya jumuia kua za mazingira yetu ili tufahamiane vizuri leo nikisali kwako kesho nasali kwa mwingine then siku nyingine kwangu hapo kutakua na maana halisi ya jumuia kuanzishwa
Lakini ninaona jumuiya kama zinahamishiwa kwenye mlengo wa vyama vya kitume wa kukutana mahali na kusali na kwenda makwetu
Karibu Mami ulipoteaHuo ni ukweli usiopingika.
Tena nawashauri, kina dada msichague kazi mradi ziwe za halali.
Heeeheeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16]Kabisa yan bora kutafuta chako mwenyewe kwa jasho lako yan
Nimemkumbuka Jiwe
Hatutakiwi kumkumbuka?Muache apumzike.
Bwana wee...tena tunatesa miilinyetu ili tule huo uzuri.Mbona walaji wa huo uzuri tupo..😅
Sawa sawa kama ni hivyoTulipitia changamoto nyingi, wengine wanaishi kwenye chumba kimoja na familia hivyo kukaribisha watu kusali nyumbani ni ngumu. Wengine mwenyenyumba amempiga marufuku kume sala zinaharibu network system ya mwenyenyumba.
Hivyo uongozi wa kanisa uliamua kufanya hivi. Ni kweli ni kama tu vyama vya kitume.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hamlipii ipasavyo
Kumbe wanaume wameumbwa na tamaa ya uzinzi? Sikua najua hili.We 'r limited ... Am not muslim .. Yet no all christians r saints .... Makosa yapo.. Lakini yupo yule ambaye kiimani ameapa kuwa nawe kwa shida na raha ..kiapo chake ndicho nami nimeapa ... Siwezi mdharau ama kumtendea baya ajue ..ntkafanya uzinzi wangu kama wanaume wote tulivyoumbwa na TAMAAA .. Sitomuonyesha wala kumdhihaki maumbile yake ambayo tumeyaleta sisi kwa kumzalisha na unyonyeshaji wake ...