Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
- Thread starter
-
- #21
Kama wapo basi nivizuri,,tuseme zama zao zimekwisha kama kina maradona wamebaki kuwa wachambuzi..Wapo ukiwahitaji nijulishe na sio uchawi wala ndumba search kwenye LAST SEEN ya kila mmoja utajua tu... Ila kuhusu location siwezi kukuambia
Najua wengi hamtaaminiHe he he he
umenifanya nicheke sana mkuu
Wakati si mileleKama wapo basi nivizuri,,tuseme zama zao zimekwisha kama kina maradona wamebaki kuwa wachambuzi..
Kweli kabisa...naona hizi ni nyakati za shemela wetu demiss,na kina shunie,mzigua,numbisa na wengine wengi[emoji41] [emoji41]Wakati si milele
Yes....wengi waliojiunga juzi hawawezi kuamini.Dah una bahati kubwa
Ni kweli , sasa hivi kuna akina kapeace, Hajar, mambembe, dinazarde, demis, MBITIYAZA + demi ( mafundi wakuu), jolie jolie, Mama Sabrina , Kasie kiasali, na wengine lukukiMda umepita mkuu...sasa hivi kuna version nyingine kabisa humu
hahahaHahahaaa mapambano ya huko kunakoitwa PM.. JF is never boring....!!!!
Wala hilo lisikutishe kwakuwa matomaso wako kila mahaliYes....wengi waliojiunga juzi hawawezi kuamini.
Tsup. ....Heaven Sent
Asante sana kwa kuja msubiri PM mpambaneMpendwa mimi mbona nipo sana tu, ukiniita tu nimefika
Hahhaha nipo na jeshi langu tayariAsante sana kwa kuja msubiri PM mpambane
Naomba umuPM mleta mada atimize lengo la kujiunga humuMpendwa mimi mbona nipo sana tu, ukiniita tu nimefika
Ukihitaji backup chamdeko wangu yupoHahhaha nipo na jeshi langu tayari
Tsup...Tsup. ....