Wadada hebu mtuambie ambao hatuna pesa tunwapata vipi??

Ryzen

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
7,301
Reaction score
8,706
Juzi kati nikiwa mitaa flani nilimtokea mtoto mmoja mkali standard wight hivi.. yaani mtoto ana factor of safety(Shundu) flani cha kichokozi..
Mwanangu mtoto alikuwa na rangi flani ya mtume.. mwamba nikamuibukia.. katoto kakauliza "Khan Gari lako liko wapi??"

oya nilisinyaa kama barafu juani.. Gari jamani gari.. sasa swali langu kwa wadada je sisi wanaume ambao hatuna magari wala pesa tutumie mbinu gani kuwapata??

Wanaume Chukueni Notebook!🙂
 
Baki kuwa...mpendwa mtazamaji!
 
Back
Top Bottom