Word
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 1,356
- 3,235
We ni bibi kwa wajukuu zako, kwa sie wazee zaidi yako ni binti mbichi tu badoMbichi mimi? Nalea wajukuu ujue
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We ni bibi kwa wajukuu zako, kwa sie wazee zaidi yako ni binti mbichi tu badoMbichi mimi? Nalea wajukuu ujue
Haha sawa..We ni bibi kwa wajukuu zako, kwa sie wazee zaidi yako ni binti mbichi tu bado
Jiamini.. hapa nakazia mkuu..Juzi kati nikiwa mitaa flani nilimtokea mtoto mmoja mkali standard wight hivi.. yaani mtoto ana factor of safety(Shundu) flani cha kichokozi..
Mwanangu mtoto alikuwa na rangi flani ya mtume.. mwamba nikamuibukia.. katoto kakauliza "Khan Gari lako liko wapi??"
oya nilisinyaa kama barafu juani.. Gari jamani gari.. sasa swali langu kwa wadada je sisi wanaume ambao hatuna magari wala pesa tutumie mbinu gani kuwapata??
Wanaume Chukueni Notebook!🙂
Fwata ushauri huu mkuuSimpo sana kuwa-win mkuu..
Binafsi sna gari wala pesa, lakn watoto ninaowamega ,ata Juma Nature akubaliw
Sasa n hv, jitahd kuish maisha simpo tu, acha mauongo uongo (kujitunisha) ya kifalaa..
Kwny uongo wako, punguza maneno mengi. Mambo ya kutukana wachumba n ushamba. Namaanisha chunga ndimi yako..
Akiomba bando mtumie, akiomba ela km n kubwa mfano elf30, mwambie mi ninayo 20 pekee.. Kama huna kabisa mwambie sna Darling.. Usimdanganye utamtumia AF usimtumie..
Mi- password password kwny simu itakupunguzia uaminif..
Mwsho kabosa OA
yes inasaidia sana.. kwanza unaepukana na Vibomu visivyo na ulazima...Concept kubwa ni Low-Key
Wakatili nyieUtaishia kutuita shemeji [emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23] hapo sawaAisee watoto wazuri utaishia kuwaita shemeji, kwa sasa komaa tu na sie kina mwajuma ndala ndefu
Aaah wap bhn nyie ndio wenyewe una mkuta mwanaume ana hisia za kwel kwako lakini una mtolea njeWakatili nyie
Ahaha mkuu wasikumark kuwa makiniOya wasijifanye wao matajiri sana bhn hata wao hawana magari walio wengi wajiulize hata baba zao walipo kuwa wan Watongoza mama zao wali kuwa na magari una kuta katika mia 500 una pata 7 tu kwahyo tuheshimiane pesa zina tafutwa
Nenda benki ukakope ukirudi utawapata mke mwema anatoka kwa bwana mimi mbona nangojea ngojea mke mwema sio mafisi.Juzi kati nikiwa mitaa flani nilimtokea mtoto mmoja mkali standard wight hivi.. yaani mtoto ana factor of safety(Shundu) flani cha kichokozi..
Mwanangu mtoto alikuwa na rangi flani ya mtume.. mwamba nikamuibukia.. katoto kakauliza "Khan Gari lako liko wapi??"
oya nilisinyaa kama barafu juani.. Gari jamani gari.. sasa swali langu kwa wadada je sisi wanaume ambao hatuna magari wala pesa tutumie mbinu gani kuwapata??
Wanaume Chukueni Notebook!🙂