Wadada hebu mtuambie ambao hatuna pesa tunwapata vipi??

Jiamini.. hapa nakazia mkuu..

pili.. hata ukiwa na Gari ishi maisha in LOW KEY method
 
Simpo sana kuwa-win mkuu..

Binafsi sna gari wala pesa, lakn watoto ninaowamega ,ata Juma Nature akubaliw

Sasa n hv, jitahd kuish maisha simpo tu, acha mauongo uongo (kujitunisha) ya kifalaa..

Kwny uongo wako, punguza maneno mengi. Mambo ya kutukana wachumba n ushamba. Namaanisha chunga ndimi yako..

Akiomba bando mtumie, akiomba ela km n kubwa mfano elf30, mwambie mi ninayo 20 pekee.. Kama huna kabisa mwambie sna Darling.. Usimdanganye utamtumia AF usimtumie..

Mi- password password kwny simu itakupunguzia uaminif..

Mwsho kabosa OA
 
Fwata ushauri huu mkuu
 
Concept kubwa ni Low-Key
yes inasaidia sana.. kwanza unaepukana na Vibomu visivyo na ulazima...

pili.. una kuwa na uwezo wa kuchunguza aina ya mwanamke unayemfukuzia if ni mpenda hela au sivyo..

imenisaidia sana..
 
Oya wasijifanye wao matajiri sana bhn hata wao hawana magari walio wengi wajiulize hata baba zao walipo kuwa wan Watongoza mama zao wali kuwa na magari una kuta katika mia 500 una pata 7 tu kwahyo tuheshimiane pesa zina tafutwa
 
Oya wasijifanye wao matajiri sana bhn hata wao hawana magari walio wengi wajiulize hata baba zao walipo kuwa wan Watongoza mama zao wali kuwa na magari una kuta katika mia 500 una pata 7 tu kwahyo tuheshimiane pesa zina tafutwa
Ahaha mkuu wasikumark kuwa makini
 
Nenda benki ukakope ukirudi utawapata mke mwema anatoka kwa bwana mimi mbona nangojea ngojea mke mwema sio mafisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…