Wadada hebu mtuambie ambao hatuna pesa tunwapata vipi??

[emoji16][emoji16][emoji16]ukawa mdogo ka pilton
 
Una mawazo mafupi
Inategemea unataka mwanamke wa namna gani, kama unataka malaya yes tafuta pesa ukamnunue ila kama unataka mke huhitaji kuwa na hela, unatakuwa kuwa matured enough to handle the wife, to be a farther and to take respinsibilities

Moyo wako tu, penda unapipendwa baba usipende usipopendwa utajikuta unaishia kuhonga tu na kulalamika hela

Sijui huwa mnakwama wapi...mentality ya kusema mpaka uwe na pesa ndio unampata mwanamke haina mantiki kabisa

Sisi pua tuna mioyo ya kupenda...sio kwamba tunataka ATM hapana

Try to be positive na utampata wa kufanana na wewe
 
Reactions: Luv
Wadanganye mkuu acha kutuangusha wanaume Tuna kila aina ya mbinu shida si tundu mkuu we tengeneza uongo mpaka ule tunda sepa Igiza fake life


Ukitaka wa kuoa piga kazi tafuta pesa ishi maisha ya kawaida acha starehe bata huko utapata wachunaj tu .ukiishi maisha yako ya uhalisia utampata atakaeridhia maisha yako kuwa muwazi siku zote ili bibie utakae kua nae wakat huo akuridhie mwenyewe
 
Vizuri vinagarama yahee... Wanawake wazuri tuachieni sisi wakubwa!!
 
Naomba uwe Mpenzi wangu.. Mimi hela sina!
 
"" huhitaji kuwa na hela, unatakiwa kuwa matured enough to handle the wife, to be a father and to take respinsibilities ""
Bila pesa hapa inakuwaje madam?
-handle wife kna basic needs
-be a father stil basic needs
-take responsibilities ndo nuksi,kuanzia matumiz madgo,mimba na aftermath'
Naimagine bila pesa hapa
 
Mkuy kwani wewe hujishyghulishu na chochote? Maana kama unajishughulisha na chochote hata kama kipato ni kidogo basi mke ataridhika na kilichopo
 
Mkuy kwani wewe hujishyghulishu na chochote? Maana kama unajishughulisha na chochote hata kama kipato ni kidogo basi mke ataridhika na kilichopo
Si ndo pesa hizo
 
Pole sana...

Tafuta wa type yako... yule ambae atakayekuambia muwahi kuondoka daladala mwisho saa sita...


Cc: mahondaw
 
Unajua bana, Unakuta mwanaume hela hana, sio tatizo sana basi ata jipende vaa vizuri, waaapi! Fanya basi ata mazoezi upate zile wanaitwa 6 packs waapi sasa akupende nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…