Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
πππππ
πππ
Hakuna cha kuchoka muafrika wala nini, waafrika tumejua wadada ni matapeli na ndoa ni wizi wizi tuu.Mada mumeona kwa roho nyeupe nani akikutamkia ndoa unakubali akuoe, ??.
1. Mhindi
2. Mzungu
3. Muafrika
Mie kwangu naangalia upendo na mzungu kama nikiambiwa anioe nakubali tu . Ila muafrika nimemchoka hata wahindi hawana msimamo.
Je nyie mkiwa mmepata hao watu 3 utamchagua nani akuoe JamiiForums
Hii tu haikufanikiwa, kisha ndio tuamini 75% ya bajeti itatoka Bandarini baada ya WAJOMBA kuichukua? Wanatuona NYANI?
Umeme wetu unabei nzuri sana na ni watano(5) kwa ubora duniani hivyo unabei nzuri sana duniani, pesa tutakazozipata zitatuwezesha kuwauzia watanzania kwa bei nafuu sana chini ya nusu.
Umeshawahi kupendwa kweli wewe mrembo?Mada mumeona kwa roho nyeupe nani akikutamkia ndoa unakubali akuoe, ??.
1. Mhindi
2. Mzungu
3. Muafrika
Mie kwangu naangalia upendo na mzungu kama nikiambiwa anioe nakubali tu . Ila muafrika nimemchoka hata wahindi hawana msimamo.
Je nyie mkiwa mmepata hao watu 3 utamchagua nani akuoe JamiiForums
ππππππ
Vayolensi π¬ππUmeshawahi kupendwa kweli wewe mrembo?
Professor sospeter muongo
Why niambieKila la kheri ila kuwa makini na wazungu mara 20 ngozi nyeusi ila sio hawa watu!!!
Moe nimetoka huko leo nimewapa nafasi mie nilishajijibia hapo juu kipenzi mwaya mzima??Kwawewe ulivyowaona yupi alikua anakupenda sana?, kukujali?,, appearance?, au yupi alikidhi vigezo vyako walau kwa uchacheπ€π€