Wadada kati ya huyu nani utakubali akuoe ukimpata

Wazee wa kizungu wamechoka na tamaa za waafrika kwa kuomba omba, mara watoto wa Shanghazi wanataka ada mara kuna njaa nyumbani, mara mama mgonjwa yaani ni shida zisizoisha
Mnageuza watu Charities

Hapo Mhindi hana ujinga huo na mwanaume wa nyumbani hizo hela za kulea familia 10 anapata wapi wa kwao tu wanamshinda

Wanawake fanyeni kazi acheni kuwa tegemezi milele mpaka vijana wanawaogopa
 
Ni kweli ila kwa wewe ungeoa nani hapo ndio point yangu
 
Mada za kibaguzi hizi! Penzi ni penzi kwa nini unaingiza ukabila? Halafu watu mkiambiwa watanzania wengi ni wabaguzi mnanuna!
 
Wewe ulikua unanitongoza unataka nikuoe unipe milion 1 au umeshaau [emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…