Wadada, kwa nini mnatupatia namba feki?

Wadada, kwa nini mnatupatia namba feki?

Hujaona wanavyowahamisha maelfu ya wasomi na vijana bora wa Afrika ili kuwa manpower katika nchi zao zilizopogoka tangu kitambo? Is the richest man on earth Mzungu?


Akili za woga hizi hazina nafasi katika harakati ya kuijenga nchi na kuleta maendeleo endelevu.


Poor statement.
Tuwaachie ambao siasa imewaajiri
 
Mtoa UZI una waonea warembo, mfano warembo wa DSM siku izi wengi wanakupa namba OG kabisaaaaaaa, Tena usipo kaa vizuri pale pale na yy ana kwambia NI flash nione yako .....

Sasa kimbembe ukijichanganya ukapiga mzee mbaba hakikisha una kuwa tayari kupigwa mizinga. yaani uwe una hudumia mahitaj madogo madogo e.g luku, bill za dawasa, yaani izi utazikoga kila mwezi mzee !
 
Kitu ambacho si entertain ni kuomba omba hovyo namba wanawake. Moja kusumbuana kuchati hovyo hovyo, pili ukiomba namba jua wewe ni mzazi mwenza utalipa hadi ada za wajukuu.

Mkuu mnawezaje kuomba namba kwa kuonana na mtu mara moja na mkaweza wasiliana?
Vijana wengi wamewekeza kwenye ku chat

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania ina safari ndefu sana. ^Huwezi kuleta mabadiliko na maendeleo ya kweli kwenye taifa ambalo asilimia kubwa ya vijana wake wanawaza ngono na pombe^~Che Guevara
Vijana wa kiume Wakiambiwa waandamane kuundoa madarakani utawala dhalimu wa Ccm , wanabaki kuuma uma vidole kama mabinti wanaobalehe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom