Wadada, kwa nini mnatupatia namba feki?

Wadada, kwa nini mnatupatia namba feki?

Acha bhangi wew hayo mataifa yalioendelea ndo yana uchafu balaa

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
BANGE kaivute mwenyewe! Go and study your history. Obstacles tunazopaswa kuzikonka kama Tanzania na Afrika ni way different from those za nchi unazodhani hali ni sawa.

Jiulize kwa nini nchi za Ulaya na Magharibi zinashabikia sana upuuzi na ujinga vienee huku kwetu? Pls don't get me started!
 
Vijana wa kiume Wakiambiwa waandamane kuundoa madarakani utawala dhalimu wa Ccm , wanabaki kuuma uma vidole kama mabinti wanaobalehe

Sent using Jamii Forums mobile app
Madhara ndiyo hayo sasa, yameanza kuonekana. The good news ni kwamba normally revolutions na mabadiliko yote katika historia huwa yanakuwa spearheaded na watu wachache tu--au hata mmoja mwenye akili timamu na ujasiri wa kutosha.

Our people must understand that the future almost exclusively depends on their present course of action. Yakifanyika mafamba sasa, kizazi kijacho, uwezakeno wa kuzidisha ufamba ni mkubwa sana.

This is the right time for change! ^War-who-knee^ wote wawajibishwe--wafurumshwe!
 
Back
Top Bottom