Wadada, kwa nini mnatupatia namba feki?

Tuwaachie ambao siasa imewaajiri
 
Mtoa UZI una waonea warembo, mfano warembo wa DSM siku izi wengi wanakupa namba OG kabisaaaaaaa, Tena usipo kaa vizuri pale pale na yy ana kwambia NI flash nione yako .....

Sasa kimbembe ukijichanganya ukapiga mzee mbaba hakikisha una kuwa tayari kupigwa mizinga. yaani uwe una hudumia mahitaj madogo madogo e.g luku, bill za dawasa, yaani izi utazikoga kila mwezi mzee !
 
Vijana wengi wamewekeza kwenye ku chat

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania ina safari ndefu sana. ^Huwezi kuleta mabadiliko na maendeleo ya kweli kwenye taifa ambalo asilimia kubwa ya vijana wake wanawaza ngono na pombe^~Che Guevara
Vijana wa kiume Wakiambiwa waandamane kuundoa madarakani utawala dhalimu wa Ccm , wanabaki kuuma uma vidole kama mabinti wanaobalehe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…